Mimi nimekaa Meza Moja na Binti huyu. Ni mnyenyekevu mno,hana majivuno,hana lugha ya kuudhi, anaelewa hisia za vijana kiasi kwamba huwa anashindwa kusema kwa sababu anaelewa ground ilivyo na hataki kudanganya Umma. Hakika mikono yako ni Misafi. I love you💞 @jokateM .
Kama wewe ni kijana au una kijana ambaye ana leseni ya Udereva. Njoo nikupe mchongo yaani Nakupa Bajaji Bure alafu unaleta hesabu kwa mwaka Mmoja tu. Baada ya hapo Bajaji inakuwa yako. 0742387750. Nafasi ni 30 tu pia Lazima uwe Dar es Salaam.
Ni faraja kubwa kuona Boti ya Utafutaji na Uokoaji imeshushwa kwenye maji ili kuanza kazi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM (2020-2025) unaolenga kuimarisha usalama wa watumiaji wa ziwa hilo ambalo ni muhimu kwa uchumi na maisha ya wananchi.
Takribani wananchi milioni 6 wanajishughulisha na uvuvi na wanahitaji nyenzo hizi muhimu kwa usalama wao. Mpango wa serikali ni kuendelea kuwekeza katika miundombinu ya uokozi na huduma za dharura majini, ili kuhakikisha kila mwananchi anakuwa salama anapokuwa kazini au safarini.
Banda letu linatazamana na Banda la BoT(Beki kuu ya Tanzania). Jisikie Fahari kutembelea chumba namba 32 mkabala na Chinese Chamber, kwa maelezo zaidi 0742387750
🔰IJUE ILANI
CCM KUWEZESHA AJIRA MILIONI NANE (8)
Chama cha Mapinduzi (CCM) kitasimamia Serikali kuhakikisha mazingira bora ya uchumi na ajira kwa wananchi, hasa kwa Vijana, Wanawake, Watu wenye ulemavu na Wazee
Lengo ni Kuzalisha ajira zenye tija zisizopungua milioni 8 katika kipindi cha miaka 5 ijayo (2025–2030) ambapo nusu ya ajira hizo zitatokana na sekta rasmi kama viwanda, huduma, ofisi na taasisi mbalimbali.
Ajira nyingine zitatokana na sekta isiyo rasmi kama ujasiriamali, biashara ndogondogo na kilimo.
@Sativa255@zittokabwe ni tapeli wa kisiasa. Hili lipo wazi. Imagine anasema analinda kura wakati akisaini maadili alisoma na kuelewa kuwa huruhusiwi kuwa kwenye kituo baada kupiga kura. Sasa anakuja na kauli yake ya "LINDA KURA YAKO"- ngwale- Sema Maji Maji😁😁.NRNE