Katika maisha kuna fursa nyingi, kinachotufanya kutokufanikiwa ni kuchagua njia nyepesi ambayo kwa macho ya kawaida unaona ndipo mafanikio yalipo. Laa!! hashaa bali ili ufanikiwe ni kutafuta fursa ambayo unaweza kuipigania, kuipambania bila kukata tamaa.
Unajisifu ooh nimeoa mwanamke mzuri kumbe shimo lake ndo kama lile treni inapita.
Alafu later unakutana na video yake wewe kama mumewe utabaki naye au utampa talaka..?
Mimi siamini kama huyu demu anaweza kumpemda mwanaume kwa mapenzi ya dhati kama haridhiki na tendo.🚮
Wengine tunajenga maisha yetu kuanzia chini kabisa, bila utajiri wa familia wala connections za wakubwa. Hakuna mtaji wa biashara toka kwa wazazi wala connection za kazi toka kwa mjomba. Tegemeo letu ni MUNGU, nguvu na akili zetu. MUNGU asimame na vijana wote wanaopitia hali hii.
Ewe mwanadamu ambaye nawe hautaishi milele hapa duniani, ewe mwanadamu ambaye siku zako zinahesabika, tena uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi, unawezaje kushangilia mambo mabaya yaliyowapata wanadamu wenzako? Unawezaje kukejeli na kudhihaki katika nyakati hizi?
“Watu wanao ogopa Change ni Wanyonyaji ni watu walioshiba lakini Mnyonge lazima atake Change”. Mambo mabaya halafu yaende hivi hivi tu? Mnyonge hawezi kuwa Conservative, majitu yanayokuwa Conservative ni yale yanayoshiba” Mwalimu JK Nyerere.
Rozari ya leo ni kwa ajili ya wote ambao damu yao ilimwagika au imemwagika kwa ajili ya taifa hili.
Kwa ajili ya wote waliodhulumiwa haki zao, waliopoteza wapendwa wao na wote wenye maumivu makali mioyoni mwao.
Kutoka 14:14
Who is in? Re-tweet 🙏🏾
WASAFI BETI LIPENI MILLIONI 25 🫵
Hii kampuni inaleta Pyala Pyala huyu kijana wa kitanzania alipuna 30m kwenye mchezo wa Aviatrix,akatoa 5m account ikawa restricted mpaka leo😎
Amefatilia sana mpaka barua kaandika gaming board lakini bado anazungushwa
Tuwasalimie hawa 🐉