@privaldinho Kanuni zipo wazi hamtaandaa mechi alfu simba itawashitaki Yanga na bodi ya ligi huko Cas huku ukiomba points 3 ,simba itashida kesi Cas itahiamuru bodi ya ligi kuu kuwapa simba point 3 ,Simba anakuwa na Bingwa na Yanga na bodi ya Ligi wanaanza kuilaum CAS