@Dejoli08 Kuna kiwanda cha kuchakata vifuu pale Mtange wanatengeneza mkaa unaotakana na vifuu. Nadhani walilenga zaidi maeneo ya Ng’apa na Nangaru. Kimeanza kutoa products japo nasikia most of them are exported
@TBoundBuses Hizi nikiwa na safari ya home lazima nizipande🔥🔥 D14 ni unyama sana hasa kwa barabara zetu za kusini mashimo mengi angalau D14 zina shock ups nzuri👏🏾👏🏾