@HildaNewton21 Watanzania tuliokua weng. Tunashindwa kuelew tuu. Ccm sio chama cha kutongoza miaka yoto. Watoeoen nafac kwa kwa vyama pinzani. Nao waongoze. Sio kutudanganya kila cku. Tunechoka.
Ni. YEYEβπ»
Membe: Kwani hatuna njaa? Siku hizi chakula chetu ni mihogo na madafu. Pale Kariakoo unakuta mtu asubuhi anakunywa kahawa, mchana hadi jioni
> Watu wanakula mihogo mibichi na iliyoiva. Wanasisinzia hovyo hovyo
#JFLeo