@wizara_elimuTz waambieni walimu wa Themi Primary School Arusha waache kuchapa watoto wetu kwa wazazi wao kushindwa kulipa michango haramu ya mlinzi na uzio.!
Wanawachapa kwa niaba ya wazazi au? Hata mkoloni hakuwa hivyo.. Fedha za uzio ni 10,000/- kwa kila kichwa na mlinzi ni
@Rajjkalelanda@SuphianJuma Ofisi ya maana ya Chadema we inakuhusu nini..!? Kwanza una shilingi ngapi wewe?? Tupe risiti za michango ndipo tuanzie hapo otherwise tuliza kimkundu chako hicho kinatutiq kinyaa!
@ArushaGuy@Mwabuk2Boniface We si ulishakufa wewe..! Tulia huko kaburini umsubiri malaika wa adhabu anakuja, tuache sisi tuendelee na mapambano huku... We yalishakushinda.
@Royal_Tv_Tz Chama ni watu na kwani wakirejea na wakakaa pale wakakijenga bila kuwa na madaraka yoyote shida iko wapi?
Kuna namna ya kukaa na watu hao na si kila mdau atajua namna hiyo!
@SuphianJuma@SuluhuSamia Hivi kwanza tushauriane humu wana X, huyu @SuphianJuma jinsia yake ni ipi.. π
Maana tusije kuwa tunapigizana nae kelele tu humu kumbe tunadanganywa na jina! Hakuna mwanaume wa kweli mwenye akili kama za huyu jamaa bhana!!
@Baradhuli2 Mwenzio atombwe, wewe uchechemee! Kama sadaka hukutoa wewe, hilo tumbo la kuhara linakupataje? Matako wewe.
Tukikusimamisha na Father Kitima tukawauliza watanganyika nani mwenye thamani kwa sisi watanganyika we utapata asilimia ngapi dhidi ya Father?
@MariaSTsehai@HildaNewton21
@ikulumawasliano Al Makhtoum ana vitalu tele hapa nchini, ukisikia mwarabu wa Loliondo ndo huyo sasa na lile dege lake maarufu la injini 4 linalotua kule porini kwenye vumbi. π