@JrMwakinyo Koradoohking A.K.A champez wee ndio habar yao sasa ndio unao wapa muongozo ILA NATAMANI SIKU ULIUWEE JITU ULINGONI WAACHE MANENO MANENOO HOVYO TUUU
@TanzaniaLeaks Kwa hali ilivyo sasa na jinsi haya maswala yanavyoendeฤบea akuna budi kusitisha mikata yote ya hovyo la sivyo itakuwa ngumu sana kuendelea kuwa madarakani kwa maana hiyo basi inabidi muwaposhe chama pinzani kishikirie uongozi
@Diamondnews_@diamondplatnumz Sasa broh "Mwambino" mbna nyimbo zako hzi tatu zote Maudhui yanafanana unazungumzia "umasikini" sawa tumekuelewa kwenye "yatapita" huku kwengine unaboronga tuu""