@kalage_jr Boss nilikua nakujulisha zile vanilla zako hekari 500 zote ziko tayari kwa kuvuna, nasubir ruhusa yako tu boss maana vijana wameshapokea malipo
@iddynonga_ nidhamu kwanza, ata beckham alikosa nidham akapigwa kule, RVS pia, ata delle alli pia, who is saido? ubora wako na nidhamu lazma viende sawa, ukiacha hvyo soka ni uwekezaji, huwez fata condition za mchezaj mwenye miaka 30+ anataka contract ya miaka 2+ huo ni uongo