@BrettErickson28 in turn, this will continue to ruin USA moral ground, after this, countries with a big enough muscle like china, and Russia will jump in quickly in Iran's recovery, it just keeps the polarized sides of the war more polarized, for the rest of this century
@Kazingumu@IjKimathi@Thommunkondya@ezra_mollel ndio wanapotushinda matajiri, si lazima kila biashara uanze nayo chini, kuna muda mtu anaangalia nani kalianzisha anatia shea yake, anyway, sababu ni mtanzania, serikali ina haki ya kukata kodi kokote apatapo pesa
@codexKeba@swahilitimes barabara zitajengwa ila ukumbi unahitajika ili hao wageni wapate sababu nyingi zaidi za kufika Arusha, ambao hamjawahi kuongoza hata serikali ya mtaa mnajikuta mnajua πππ
@DavisOpiyo38308@swahilitimes halafu watu mnapenda kulaumulaumu, ππmgano.mdogo tu, Bagamoyo, kibaha, mkuranga, na kwengineko kunajengwa viwanda. wakati viwanja na kumbi za mikutano ukihesabu havifiki hata kumi vyenye hadhi ya kimataifa, ushawahi hesabu kuna viwanda vingapi???
@SindikaF@Michaeltz2023@fredkavishe hilo swali hutapewa majibu π ila jua wanaojenga pale sasa hivi muda wa kubomoa hawatopewa hata mia ya fidia, maana eneo ni la barabara, na lazuma watabomolewa,
@PolycarpMDM pangani, Rufiji, kilombero, Ruaha, tatizo inaenda maeneo yasiyo ya kimkakati, mfamo rufiji sehemu kubwa upo porini selous huko, ni watalii tu ndio huutumia kusafiria mbugani
@MkulimaKante by 2070 there will be more than 150 million tanzanians by conservative estimates, no matter how many of tz with chinese will there be, they will still be a drop in an ocean
@mwakambind32591@KennedyMmari Tokyo, Shanghai, Beijing, New York, are bigger several times than Dar, how they adapted? Dar is not even in the top 20 of the biggest cities in the world
@mwakambind32591@KennedyMmari real estate haifanyi kazi hivyo, wakati sgr inapandisha thamani na umuhimu miji ya nje ya Dar, posta nayo na Dar ndio zinaongezeka thamani maradufu, maana sasa panakuwa more accessible kuliko zamani
@BarakaMaviatu@KennedyMmari nje ya mji wapi? π Dar ishajaa hadi nje ya mji, na nani hasa anataka aishi nie ya mji, maana Dar nje ya mji ni kilomita 30 na kuendelea
@Isayadicksonjr shida ni culture, wala sio umaskini, siku hizi watu wana pesa wewe, umaskini uponila wanaoshika pesa sio wachache pia, na hayo maeneo bei zao za kawaida tu, shida ni culture, hatuna uzungu wa hiivyo ni waswahili
@emptyhedi@Elsukay0 shida kazi zipo mjini kati, kazi pia zipo Dar shida ni maslahi madogo, mishahara ni midogo, kuishi pembezoni nauli ndefu, kujiajiri na kazi zisizo sekta rasmi ndio zimajaa huko pemvezoni, hazina corporate au govt future