Umar ibn al Khattab said:
❝Do not let the prayer of a man deceive you nor his fasting. Rather look at the truthfulness of his speech, his trustworthiness whenever he is entrusted, and how he acts whenever he is given wealth and/or power.❞
(المطالب العالية 11/620)
MWAKA 2024 UNAFUNGWA HALMASHAURI YA USHETU, SHINYANGA
Halmashauri ya Ushetu ya Mkoani Shinyanga imenunua lita 3,655 za dawa za viuadudu kwa ajili ya kutokomeza mazalia ya mbu vinavyo zalishwa na kiwanda cha Serikali, @TBPL2015 kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
#ndc#tbpl
'Ni bora kukaa kimya kuliko kuzungumza yasiyo na maana,na ni bora zaidi kuzungumza yalio na maana kuliko kukaa kimya' _
Prophet Muhammad swallallahu Alayhi wasallaam