"Nchi hii ina msiba, nchi ina kilio, tuungeni Mkono tubadilishe nchi hii. Tunahitaji uchaguzi huru na wa haki, Samia asimamie hapa, Lissu asimame hapa, ipigwe dakika 90, wananchi waamue. Ndicho tunachokihitaji.
Mimi nimekuwa diwani nikiwa mwanafunzi, nikimbie uchaguzi? Nimekuwa Mbunge kabla hata sina mwanamke, nikimbie uchaguzi? Mimi najua utamu wa Bunge na mimi ni mbunge niliyekuwa na akili, anayesoma na mnajua tumejenga hoja nyingi bungeni."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema kwenye Mkutano wa hadhara Kilombero Mkoani Morogoro.
Busara za MWALIMU NYERERE.
Hizi BUSARA huwezi kukuta kiongozi wa WAKOLONI WEUSI anazipost. Na huji kukuta wanaziongelea mahali popote.
Mazungumzo yao wanayoyapenda kutoka kwa MWALIMU NYERERE ni kulinda โAMANIโ. Hako ndio kakichaka kao, yani wao wapo tayari kuua , kuteka na kupoteza wengine ili walinde AMANI.
Maneno haya yenye busara nyingi hawataki kuyasema na hawataki kuyasikia maana wanajua wanapoteza DOLA asubuhi na mapema.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
"Mpaka sasa hivi sio mimi kama Wakili, sio uongozi wa kanisa na wala sio yeye mwenyewe Bishop Gwajima ambaye amefahamishwa kwamba Bishop Gwajima anahitajika polisi kwa tuhuma yoyote ile ya jinai"- Kibatala, Wakili wa Askofu Gwajima
@PKibatala_@jgwajima