Nilihudhuria Malkia Wa Nguvu (weka tuweke) ilikuwa fursa nzuri ya kujifunza na kuona sasa gender si sababu ya kuto-thubutu.
Mimi kama mjasiriamali mdogo bado naendelea kujifunza kwa ma-malkia wengine, was good to be there๐
Kuna jamaa angu alituma simu yake itengenezwe nikapeleka kwa fundi, ilipokamilika akasema atatuma hela kesho yake mimi, nikamtumia simu mkoani kwa makubaliano atailipa tu kumbe ndo nimejichanganya 360k hakulipa, sasa kila nikifanya miyeyusho mahali wakitaka namba zangu natoa zake
Manchester City vs Nottingham Forest has just kicked off. Maresca is about to school Arteta on what beautiful football actually looks like. The scoreline will speak for itself. Just sit back and watch.