@usembassytz There are people who have lost their jobs and have not been paid for the projects you have funded and you are not even bothering to check if people have been paid aaanh!! A strong institution does things with great care, you as ambassadors should check that the NGOs you have fund
@UbaloziUSA@eskanza@mfa_tanzania@swahibahm Yaan nyie acheni uhuni watu wamesitisha mikataba ya ajira kwa watu na hawajawalipa staiki zao na mashirika yamefadhiliwa na wamarekani bado munasema uhusiano ubinadamu uko wap haki iko wap walipeni watu acheni janja janja
@Mshindo_@Roma_Mkatoliki Home moja malendego,somanga,nangurukuru kilanjelanje,mbwemkuru lindi,mnazi mmoja mikindan nyangao nachingwea ruangwa hadi mtanda swala moja hiyo
@MacAlpho@Mkuchy_b@ZemmyRapid@privaldinho Hakikujib niambie hiyo sabab coz mpira una sheria zake dunian sasa sababu ni ipi kuna janga gan lilitokea ambalo lilisabisha muda usogezwe hawa Tanzania Football failer wanazingua sana kwa kuleta ujinga usio wa lazima bodi na chama cha mpira ni dhaifu sana ilo tunatakiwa kukubali
@ZemmyRapid@Mkuchy_b@privaldinho Sasa mchezo wa mpira una taratibu zake na kanuni pia unapoweka ratiba ya saa kitaalam wachezaji wanatrain kwa muda na majira husika hivyo ukibadili ni kosa kisheria ndio maana yanga walikuja wakati husika yanga hakukimbia mechi bali Tanzania football failer ndio tatizo
@Ridh_One_1@privaldinho Tatizo la yanga wap hapo hiv ushawai sikia upumbavu kama huo kwenye ligi bora ratiba saa 11 siku tajwa afu inafika masaa matano kabla ya mchezo unabadilishiwa masaa na kizuri yanga waliingia muda husika saa 11 hapo ndipo utagundua TFF iko na maslai na simba
@JamiiForums Warudishe hela za viingilio sio walete ujinga wao kwamba watakapotangaza tarehe wataimgia tuu hiyo amna maana hawa bila hivyo watazoea uswahili bodi ya kishamba sana