Leo Septemba 21, Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara, Ndugu @Mwanaishamndeme amehutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Kisesa Mkoani Simiyu.
Ndugu Mndeme yuko katika ziara ya Katibu Mkuu @AdoShaibu Kanda Ziwa na Dhahabu.
#Miezi10#WanachamaMilioni10@ACTwazalendo
"Kuna mikoa 7 watu wake hawana uwezo wa kupata na kutumia Tshs 1,700 kila siku. Kigoma, Tabora, Rukwa, Katavi, Shinyanga, Kagera na Geita. @ACTwazalendo tutawaunganisha watu hawa masikini waoneshe hasira dhidi ya CCM iliyowafukarisha."
@zittokabwe#Miezi10#WanachamaMilioni10
Siasa ni Ushawishi. Vyama vishindane kwa mawazo (ideas) na Sera (policies) za kubadili maisha ya wananchi. Wananchi wataamua wazo gani bora. Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa tunawaambia washindani wetu, CCM, kuwa waache vitisho huku Vijijini. Tushindane kwa hoja