Learn to rejoice and celebrate the victories of others. It will open doors of goodness in your own life in return. Be gracious enough to accord even your enemy their due place. Such positive actions will lift you even during your worst days.
@TunduALissu@MariaSTsehai Je, wanaotegemewa kufanya #Mabadiliko ya hizo #Sheria si hao wanaofurahia hayo maneno matamu?
Kama ndiyo nini matarajio yako kutoka kwao waliowengi ambao kwao sheria zinatungwa/zinabadilishwa.
Kurasa 300+ zitafanyiwa kazi tuu, na si vinginevyo.
@TunduALissu Ifike mahali tuheshimu tofauti ya mitazamo. Endapo wenzako wameelewa tofauti nawe usilazimishe waelewe ulivyoelewa.
By the way #suggest way forward ya kile unachokielewa ww na si kuishia #kulalamika tuu.
Wapendwa, Martin Luther King alikuwa mchungaji na alihubiri Upendo ila hakuOMBA haki bali aliDAI!
Tuache mambo ya kunyenyekea na kuombaomba HAKI kana kwamba ni huruma au hisani! Haki haiombwi inadaiwa ๐ช๐ฝ na kuidai ni kuchagua njia ngumu ila ndo endelevu!
#ChangeTanzania
@USAmbTanzania@bboyvonykale Immediately!!! Who are you? And to whom are you commanding?? You have to deal with your own affairs. Tanzania is a sovereign state.
@Fromagehomme Tanzanians are going to try all it takes to protect our #Sovereignty. No one is interested by your Advice. Just deal with your own affairs