@issahsalumsizya@rayasel94 Bro unatakiwa uende ukasome Quran yako vizuri. Kaaba ni Nyumba ya Mungu wenu Acha kubishia ukweli halisi hivi unajua maana ya Bayt Allah?
"Shilingi kupanda na kuwa na nguvu dhidi ya dola itapunguza ushindani wetu kuuza bidhaa nje (exports), kwani wanunuzi wataona ni ghali na kwenda kununua kwingineko. Mazao yetu ya kuuza nje yaweza kukosa masoko na bei za wakulima kushuka na pia watalii kupungua" Anna Tibaijuka
Hivi ni Kwanini Sura ya Hayati Rais Karume imechapishwa mara Tatu(3) kwenye Sarafu ya (Tsh.50, Tsh.200 na Tsh.500) Wakati Hayati Rais Nyerere sura yake imechapishwa mara mbili(2) yaani kwenye Sarafu ya (Tsh.100) na Noti ya (Tsh.1000)? 🤔