@fatma_karume Tunashindwa kuelewa kama nchi wasomi wengi hasa hawa wanaopata vyeti vya elimu za juu wakiwa viongozi tayari hawana uwezo wowote wa kupambanua mambo kiuhalisia zaidi ya kutembelea vivuli vya vyeti vyao...tunawaheshimu watu wenye elimu za vyeti wakati utendaji zero!
@VenanceLFC Basi na wewe kahongwe maana umekazana kukomaa na mishe za wanaume wenzako...yeye kasema anahonga kama wewe huongi kausha....unalalamika sana bway...wanaume hawapo hivyo,vunga!
@Kilain7@nillah_muhidin@Mangiwakwanza Kufika KCMC kwa usumbufu alioufanya wakampiga sindano ya sumu akadanji na yule Askari akapandishwa cheo....Moshi ya 90's ilikua ya Moto hatarii...
@Kilain7@nillah_muhidin@Mangiwakwanza Sasa mwisho alitokea dogo mmoja alikua anaitwa Mzee alikua anakaa mtaa wa chini....stori ya huyu dogo ndo ilikua tishio hapo Moshi.... ishu yake ya mwisho aliiba gari ya hospital ya KCMC akasakwa saana mpaka Polisi mmoja akampiga bomba mto Bonite kufika KCMC sasa.....
@TumainiMakole Hawajui faida za hii kitu...laiti wangejua nadhani wangeiidhinisha maana hata Yesu Kristo alipoenda kumfufua Lazaro,alisema,nanukuu "Mpeni Kitu ale!"
@nillah_muhidin@Mangiwakwanza Alikua na Dem wake anaitwa Ursula dada mmoja pisi hatari aliuliwa na bomba,usafiri wao ulikua pikipiki kubwa...i think ndo huyo!