Kilimo Cha mahindi ni kigumu sana , unafanya kwa Gharama kubwa, Lkin utauza kwa bei utakayopangiwa hata kama hailipi.
Kwa bei iliyotangazwa na Waziri @HusseinBashe sh.500-600 ni wazi kwamba Ili upate mbolea mfuko Mmoja inatakiwa kuuza mahindi Gunia mbili.💔🥲.
Maridhiano mnayojadili ni kati ya nani na nani? CCM na CHADEMA? CCM iko Polisi, CHADEMA iko Ukonga. Sasa tufanyeje? Tuwafungulie CCM kutoka Polisi na CHADEMA toka Ukonga, ndipo tutapata fursa ya maridhiano ya aina yoyote!
Unadhani kuna mtu anajali Hayo Maisha yako unavyoyaendesha?
Hawajali na wala hawayajui ni wewe mwenyew unajipa umuhimu na kujipotezea muda ukijaribu kujithibitisha kwao
Km unabisha fikiria watu wako wa karibu wangapi washakufa na umewasahau Maisha yanaendelea!
Ishi Maisha yako.
An icon ✨ of democracy and freedom
#FreeTunduLissu
Huyu ndo alama na tunu ya Taifa! Mnavyoendelea kumshikilia ndo mnaendelea kumjengea larger than life reputation - sifa ya kipekee!
Binadamu huwezi kupangua mipango ya Mungu! Soon Tundu Lissu will be free - wajipange madhulmat!
AKILI kama ya LISSU haipaswi kuwa GEREZANI hata kwa sec moja #FreeLissu 😭🙏huyu SAMUYA na genge lake ni WAHAINI wanaoishi ikulu na kutembeleax V8 ipo siku tutawawajibisha ba tutawafunga magerezani kwa majina yao