Wanawake wa uswazi nawakubali sana. Akikupiga kizinga ataomba elfu 7, 5 sijui elfu 3 ya vocha yaani vizinga vyao haviruki 10k. Tena akijimaliza sana atakuomba 13k ya kijora cha cotton hapo ndio kajimaliza haswaa. Hawa ndio wanajua kabisa kwamba tendo la ngono utamu ni wa wote.
Appreciation tweet kwa big brother Nyani zee, tumefanya mambo mawili matatu ila he is always there, ukiwa na issue yako atatenga muda kukupigia ulipofikia na kama una ka milestone mahali atakuja kucheki na kukupa his remarks, kwa wale ambao hatuna tochi hapa mjini sio kitu kidogo
Ulishawai kupanga nyumba sehemu ukakutana na braza wa makamo yeye unaambiwa ni mtu wa kusafiri anakuja gheto mara mojamoja sana,
Huyo mpangaji basi ni mtu mwenye familia na nyumba yake, uwa mara nyingi wanapangaga gheto ili kijipumzisha na stress za wife na wanakwepa gesti.
Na tupunguze ujuaji Ndoa haitaki ujuaji km unajiona wewe ni mjuaji achana na mambo ya ndoa 😂😂Ndoa inahitaji watu wapuuzi puuzi km shangazi yenu hapa kuna mahali unameza jiwe maisha yabaki na amani😂😂Mambo ya kuhoji hoji tuwaachie wanasiasa👌
❗️mje pole pole msinikwae naumwa
Tunajua maisha yanaenda kasi, na ndio maana tumeingia ushirikiano na kampuni hi yenye NAULI HIMILIVU kabisa, zinazomjali kila Mtanzania.
Pata tiketi za Kutoka Mwanza kwenda Dar, Moshi, au Kahama—safiri kwa raha na amani na starehe bila kuumiza mfuko wako!
#DearNyerere katika mwezi huu wa kumbukizi yako haitokuwa kukuenzi wewe pekee, bali na kuwalilia wale waliondolewa uhai kwa maslahi binafsi Oct 29. Utabaki kuwa mwezi mgumu na mweusi kwenye familia nyingi. Ni tumaini walifika na uliwapokea. Pumzikeni Salama 🕊️ 🕯️