@eastafricatv @kwanza_tv @ChangeTanzania@WilliamOlenasha Miundo mbinu ya barabara ni changamoto kubwa wilaya ya Ngorongoro. Wilaya yenye kuliingizia Taifa fedha nyingi sana za kigeni.
Haya siyo maandamano ya kudai chochote kwa mtu yeyote ila ni maandamano ya huzuni kukiwa kumebebwa mwili wa marehemu Yohana Saidea (Babuche)aliyefariki kwa kipigo cha JWTZ walioko Waso Ngorngoro @MwananchiNews@kangilugola#ChukuaHatua
"Kwa habari ya kero ya maji Lindi tuna mradi mkubwa wa maji zaidi ya bil 16, umekamilika kwa 90% Mwaka 2017 tulipata changamoto na mkandarasi tukavunja mkataba, akatupeleka mahakamani. Tumepewa zuio la mahakama, tumekata rufaa, tar 28.02.2019 tasikia uamuzi" @kitilam#ChukuaHatua