Mh #waziri@JMakamba je kuna sababu ya kuzuia mifugo kulishwa katika mapori yanayozunguka bonde la Ngorongoro ilihali hakuna uharibifu wa mazingira?je sheria inasemaje kuhusu hili #Chukuhatua@Kwanzatv@Masoudkipanya
@AlkadoAlphonce@ShantyFrancis@OxfamTz Mragbishi ni muongozaji wa wengine hivyo ni lazima awe na maarifa ya uongozi uongozi ni pamoja na kuona kile ambacho wenzake hawajakiona na hivyo kutoa dira ya kuwaongoza
@AlkadoAlphonce@ShantyFrancis@OxfamTz Mragbishi anatarajiwa kuanzisha mijadala mbalimbali inayohusu masuala ya utawala bora na uwajibikaji ili wananchi wachukue hatua dhidi ya vikwazo vinavyoleta ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji
@AlkadoAlphonce@ShantyFrancis@OxfamTz Mragbishi ni mtu anayejitambua
Mchokonoaji wa mambo mbalimbali za kijamii
Awe na sikio kubwa kuliko kuwa na mdomo
Awe na ujasiri wa kufuatilia jambo
na sio kwa manufaa yake binafsi bali kwa manufaa ya umma
Asitegemee kupata malipo yeyote
Awe na kiu haki kwa wote
Sera ya Taifa ya mwaka 1998 inasema mapato yatakanayo na wanyamapori yanaweza kuongezeka maradufu iwapo jamii zitashirikishwa #PolicyForumBreakfastDebate
Mh waziri wa mifugo naibu waziri na katibu mkuu wizara ya mifugo sekta hii itawapatia lini wafugaji masoko ya kuuza Mifugo na mazao ya mifugo nchini ili wazilazimike tena kupeka mifugo kuuza nje ya nchi kama vile Kenya na kwingine @LuhagaM@bunge_tz#Chukuhatua
Kuna mikoa ambayo ni kinara katika kuibua kero kupitia mitandao ya kijamii
~ Dar es Salaam
~ Kigoma
~ Dodoma
~ Mwanza
~ Kilimanjaro
~ Arusha
~ Mtwara
@kitilam#Chukuahatua
"Kisera, nchini #Tanzania, kituo kimoja cha maji kinapaswa kuhudumia watu 250 ndani ya mita 400. Hadi Jan.2019 tulishajenga vituo 129,000 --kama vyote vingefanya kazi vingehudumia takribani watu Mil. 32, bahati mbaya vituo Elfu 83 pekee ndio vinafanya kazi."-@kitilam#ChukuaHatua
Kweli nazidi kuipongeza @OxfamTz pamoja na mashirika rafiki kwa kuzidi kuelimisha waragbishi kuwa digitali ni kwa ajili ya maendeleo siyo uchochezi kwa kufundisha sheria ya makosa ya mitandao na wakili Deo Bwire @PalisepTz@NdikoAmina#ChukuaHatua
Mtu yeyote atakaechapisha taarifa, picha au takwimu, lugha ya matusi au kupotosha umma adhabu yake ni kifungo cha miaka 3 au fain mill 5 za kitanzania au vyote kwa pamoja. Kipengele no 16 cha sheria za kimtandao ni mh Deo Bwire wakili wa kujitegemea HDRC
#ChukuaHatua
Mh waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Issack Kamweli akisoma hotuba ya Mgeni Rasimi kwa niaba ya Mh makamu wa rais mama yetu @SuluhuSamia@PalisepTz@OxfamTz#Chukuhatua
Shukurani zangu za dhati ziwafikie @OxfamTz kutupatia mafunzo ya digitali na kutuwezesha kupata habari bila kuwasahau @PalisepTz Mh makamu wa rais mama @SuluhuSamia
Mh NW @DocFaustine kata za Alailelai,Nainokanoka,Na Naiyobi zote zipo chini ya halmashauri ya Ngorongoro serikali ina mpango gani wa kuwapatia hospitali ili kupunguza ubebaji wa migongo kwa wagonjwa wa binadamu na maafa @NdikoAmina@Masoudkipanya@TurotoL@Billmarwa#Chukuhatua