@unbrokenfx15340@Iamfelixtz Hakuna mwenye guarantee ya kushinda mechi ila hilo tamko ni kama kutapatapa. CAS mlienda kufanya nini? Kama issue siyo mechi ya Simba mbona hayo matakwa hamkutaja wakati mnacheza mechi nyingine baada ya tarehe Machi 8?? Au mlikuwa hamjui bado mnataka nini 😂?
@PresenterNoah@NelsonLaizer Majibu yapi mengine? Majibu ni mechi inarudiwa tarehe 15. Au mnataka majibu ya kubembelezana? Yanga anagekuwa anataka majibu ya TFF au bodi ya ligi asingekimbilia CAS. Na kama ulimsikia Karia ndicho alichosema kwamba wenzao walishaamua kwenda huko basi waendelee na huo utaratibu
@StephanoAm76866@MichaelMrutu97@PresenterNoah Aende CAS kufanya nini wakati hajapinga hayo maamuzi huku ndani. Atarudishwa tena kama alivyorudishwa sasa hivi. Cha kwanza alitakiwa aandike barua ya kukataa kucheza mechi akiainisha sababu zake. Akishindwa akate rufaa au ndo aendelee CAS.
@EsirEid@MickyJnr__ Inaongelewa pitch na si seats. Pitch imekuwa ikifanyiwa marekebisho baada ya game ya robo fainali. CAF walikagua pitch baada ya hapo? Na kwa nini Berkane wana taarifa kabla hata ya hosts? It would be useful if CAF clarified the basis for their decision.
@EsirEid@MickyJnr__ Are you referring to the state of the pitch in the quarter-final game? The pitch and drainage systems were inspected and repaired after that match. It would have been less confusing to know whether CAF inspected the pitch after the improvements, or just made their decision
This is the current state of the Benjamin Mkapa Stadium. 🏟️🇹🇿
It will be shocking if this venue doesn’t host the 2nd leg of the Confederation Cup final.
#cafccwithmicky#nguvumoja 🦁
#FunFactFriday
Did you know that behind every growing startup is a dedicated support system?
Meet Tabea Mbughuni — Innovation and Technical Assistance Analyst at the FUNGUO Programme!
Tabea is passionate about helping investees grow, providing hands-on support, insights, and technical guidance to help startups scale and create impact.
Because growth doesn’t happen by luck — it happens by support, strategy, and innovation, that what FUNGUO is here to do!
#Funguoprogramme #StartupSupport #InnovationEcosystem #TechnicalAssistance #GrowthJourney #YouthIgnite #InvestingInInnovation
@iHumphreyz@PolycarpMDM Offside ni mwamuzi wa pembeni ndiyo anatakiwa kuamua. Hata kama linesman alikosea, refa wa kati kitaalam hayuko kwenye nafasi ya kuona na kuamua vizuri offside. So asisifiwe kwa kufanya maamuzi ya offside au onside