Mchakato mzima huanzia juu kwenye ubongo wako kwa kile unacho:
๐Kiona
๐Nusa
๐Sikia
๐ญFikiria
> Kisha ujumbe huenda kwenye mishipa ya damu ambayo hufunguka na kuruhusu damu nyingi kuingia na uume hupanuka, hurefuka & kusimama kwa hiyo mchakato ukiharibika mambo huharibika pia