AFCON na Migogoro ya Uongozi Afrika: Tafsiri ya Sheria Inapochukua Nafasi ya Ukweli Haki na Busara.
Uamuzi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuinyangβanya Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na kuutunuku Morocco utaingia katika historia kama moja ya matukio ya kutatanisha zaidi katika michezo barani Afrika. Si kwa sababu sheria imetekelezwa, bali kwa sababu katika kudai kuitekeleza, CAF imeonekana kubadili ukweli na kuuweka katika kile kinachoweza kuitwa hali ya kisheria iliyobuniwa (legal fiction).
Tuwe wazi kuhusu ukweli. Senegal haikuacha mchezo kwa maana ya kawaida inayotambulika katika soka. Wachezaji wake walitoka uwanjani kwa muda mfupi kupinga uamuzi, walirejea, wakaendelea na mchezo, na wakaukamilisha. Mwamuzi aliruhusu mchezo uendelee hadi mwisho wake wa kawaida. Senegal ilifunga katika muda wa nyongeza na kushinda.
Hata hivyo, CAF sasa inadai kuwa Senegal ilipoteza kwa kuacha mchezo.
Hapa ndipo tatizo linaanzia.
Katika sheria na michezo, dhana fulani zina maana wazi. Kupoteza kwa kuacha mchezo kunamaanisha kuwa mchezo haukukamilika, kwamba upande mmoja ulikataa kuendelea, na hivyo hakuna matokeo ya uwanjani. Lakini katika tukio hili, mchezo ulikamilika. Matokeo yalipatikana. Yalishuhudiwa na mamilioni. Senegal ikashinda uwandani. Ikapongezwa.
Kwa hiyo, uamuzi wa CAF unatutaka tukubali hali mbili zinazokinzana: kwamba Senegal ilicheza na pia haikucheza, ilishinda lakini pia ilipoteza kwa kuondoka. Hii si tafsiri kali tu ya sheria. Ni uundaji wa hadithi ya kisheria, simulizi inayotofautiana na ukweli ulioshuhudiwa ili kuhalalisha uamuzi wa kiutawala.
Hadithi za kisheria zina nafasi yake katika sheria. Lakini zinapotumika kubadili matokeo ya wazi na ya umma, zinahatarisha uhalali wenyewe unaokusudiwa kulindwa.
Ndiyo maana suala hili linazidi mipaka ya soka. Linaakisi moja kwa moja mgogoro mpana wa uongozi Afrika. Na hata wazee limetushangaza na tukalazimika kuweka neno.
Katika taasisi nyingi barani, tunaona mtindo unaojirudia: mamlaka inapopingwa, majibu hayawi ya uwiano bali ya nguvu tena za ziada. Sheria hutumika si tu kurekebisha vijana, bali kuthibitisha mamlaka juu yao. Kukomoa.
Hatua ya muda mfupi ya Senegal kutoka uwanjani, iwe ilikuwa sahihi au la, ilikuwa ni changamoto kwa mamlaka. Jibu la CAF likawa si la kukosoa kwa kutoa adhabu stahiki, bali kufuta matokeo ya mchezo na kuwakomoa vijana. Kwa kufanya hivyo, jibu limevuka mstari kati ya nidhamu na kupitiliza kwa kiburi cha mamlaka.
Uongozi bora haujengwi tu juu ya sheria, bali juu ya busara. Inahitajika taasisi kutofautisha kati ya kurekebisha tabia na kulinda uaminifu. Faini au adhabu zingine zingeweza kudumisha nidhamu bila kubadili matokeo ya mchezo. Badala yake, CAF imechagua hatua kali zaidi.
Matokeo yake ni wazi. Imani inapotea.
Kwa mashabiki wa soka Afrika, swali si tena nani alishinda AFCON. Ni kama matokeo ya uwanjani yanaweza kuaminika tena. Ikiwa yanaweza kubadilishwa baadaye kwa tafsiri za kiutawala, basi uadilifu wa mashindano wenyewe unahojiwa. Unakuwa wa mashaka.
Kwa maana hii, CAF inaweza kuwa imeshinda hoja ya kisheria, lakini imepoteza kitu muhimu zaidi:
Uaminifu na Uhalali wake.
Na uaminifu ukipotea, si rahisi kuurudisha.
Suala hili sasa litapelekwa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS). Lakini bila kujali matokeo, madhara tayari yameonekana. Soka la Afrika haliwezi kustawi katika maamuzi yanayoonekana kuwa ya kiholela au yasiyo na uwiano na busara. Yanayofutwa na watawala wa taasisi kwa kisingizio cha sheria.
Walioshindwa kweli katika tukio hili huenda si Senegal wala Morocco, bali ni AFCON yenyewe. Uhalali wake nahata uadilifu tayari vimetiliwa mashaka na walio wengi. Hata na wazee ambao hatufuatilii michezo kila siku, tukio hili limetugusa. Tukaweka neno.
Itambulike kwamba nguvu ya mashindano yoyote iko si tu katika sheria zake, bali katika imani kwamba sheria hizo zitatumika kwa haki na kwa kuendana na ukweli na busara.
β’ Nilikutongoza .
β’ Nimekuona unastahili kuwa mke wangu.
β’ Nilikwenda kwa wazazi wako kuwajulisha nia yangu kwa binti yao.
β’ Nilitumia mamilioni ya mahari yako na bidhaa nilizopewa kununua kama orodha yako ya ndoa.
β’ Unakuwa jukumu langu kuanzia sasa.
β’ Sasa, sina budi kukuhudumia na kukulinda maisha yangu yote.
β’ Kwa hivyo, uko chini yangu, mdogo kwangu.
β’ Ni lazima uheshimu, utii na unyenyekee kwangu.
β’ Unazingatia mamlaka na uongozi wangu.
β’ Ninaongoza, Unafuata!
β’ Nikizungumza , wewe nyamaza!
β’ Sisi si partners!
β’ Sisi hatuko sawa!
β’ Mimi si mwenzako!
β’ MIMI NI MFALME WAKO!
Lala usiku wa leo ukiwa na Imani kubwa kuwa MUNGU anaelewa changamoto unazopitia na atazirekebisha. Yeye atafungua milango ya Mafanikio na furaha ambayo hakuna mtu yoyote yule anayeweza kuifunga.
Nakumbuka kuna Siku Mzee mmoja wa Miaka 93+ aliwahi Kuniambia:
Ukitaka KUOAβbasi Oa Yule Mwanamke Anayekuheshimu Hata akiwa Amekasirika
Kwasababu Jinsi mwanamke anavyo-Kutreat akiwa amekasirikaβHuyo ndo Yeye Halisi!
Nina maswali mengi sana, nilikutana na video mtu anasema tuache kumuomba Mungu nyumba, pesa, magari nk. Kwasababu hivyo vitu hata mwanadamu anaweza kukupa.
Na tuanze kumuomba Mungu kibali, Neema, na upendeleo
Maana hakuna mwanadamu wakukupa hivyo
@Vitabu247 TAMAA na HOFU vinaongoza maamuzi yetu ya kifedha.
Sa babu ya hofu unaamka mapema kwenda kazini ili usipoteze ajira/kipato.
Sababu ya tamaa, ukipata pesa unataka kuitumia kwa vitu vinavyokuvutia.
Hivyo vitu ndo vinawafanya watu wabaki kazini hata kama ujira ni kidogo
Mwanaume usichoke kufukuzia maisha ya ndoto zako.
Acha kufikiria tu kuhusu maisha mazuri, unapaswa kwenda nje na kuyafuatilia kwa vitendo.
Hakuna visingizio.
Hakuna kitu kinachokuja kwa urahisi kwa mwanaume, kila kitu kinapatikana kwa jasho na damu.
Kama mwanaume, jikite daima kuwa katika harakati, ukifanya vitu kwa akili ya mafanikio wakati wowote uliopo, ndivyo unavyoongeza thamani.
Wewe pekee ndiye unayeweza kuunda thamani yako, hakuna mtu mwingine atakayekufanyia hivyo.
Hakuna mtu anayekuja kukukomboa.
Ni wewe Vs dunia.
Hata wakati inaonekana ni jambo lisilowezekana, endelea kupambana.
Hakuna hali inayodumu milele, endelea kupambana tu.
Kamwe usikate tamaa katika maisha.
Kamwe usisimame eneo moja, hiyo inaitwa kudorora.
Hakuna kinachoongezeka katika mazingira yaliyosimama, ukuaji unatokana na harakati za kila siku.
Na kamwe usichoke, mwanaume ni kama punda kazi, ndiyo mzigo wa ukiume.
Wewe ni sawa na mashine, au mashine inaishiwa nguvu kwa kutumika au inatoa kutu kwa kutokuwa na matumizi, uchaguzi daima ni wako, kuzeeka ukifuatilia ndoto zako au kuzeeka ukisubiri tu.
Mwanaume hupumzika siku anapokufa.
Mwanaume ukitaka Mwanamke wako aingie kwenye mifumo yako kwa wepesi na halaka, pamoja na kuwa supportive Formular kuu ni moja.
Hakikisha malengo yako maishani ni makubwa kuliko yeye, akiwa demu au mke wako then focus kubwa ikawa kutimiza malengo yako kuliko kumlilia yeye trust PROSPER mwanamke lazima atakuwa chini yako na ata support shows zako.
Ukimpa yeye kipaumbele yeye kwamba umtunze asieondoke kwenye maisha yako atahakikisha anatumia udhaifu huo kukuumiza maana anajua energy kubwa kwako wewe ni kuhakikisha anakuwa wako.
Either way, ukiweka focus kwenye malengo unakuwa na mawazo juu ya kutofikia malengo kuliko kumpoteza yeye na lazima awe mpole maana anajua anytime akizingua unaweza kumla kichwa maana uko goals oriented.
Study za mchongo za PROSPER zinaonyesha wanaoumizwa wengi ni wale wasiojua wanataka nini maishani na wameonyesha uhitaji sana kwa wanawake wao.
Trust PROSPER.
Kijana mwenzangu chagua mwanamke ambaye anatambua mipaka yake na ataendelea kukuheshimu hata akiwa na hasira au mkiwa na mtafaruku na hali ya kutoelewana. Heshima wakati wa kutoelewana ni ya msingi zaidi kuliko upendo wakati wa Amani.
Successful and highly intelligent people donβt follow the crowd... they build their own world and live by their own principles & rules.
Do the same, and youβll discover a completely new way of looking at life.