@ArcSadam First be open to him with what you get per month and be free to allow him to include your earnings as a family income instead of being considering his earnings as a family income while yours you consider personal. Marriage doesn't work that way.
@Sativa255 Wangekuwa na uchumi mzuri hayo makazi ya Mabanda ya Kibera na mengine yangekuwepo!?. Leo nimesema, kati ya nchi kumi zinazoongoza kwa utapiamulo, Kenya ni moja wapo na Tanzania haimo
@callmeFuraha Kufa umekufa tu na utaoza, uzikwe wapi haisaidii chochote. Kila kitu kitaoza and you are useless sana sana kama ni muumini utasubiri siku ya kiama , motoni au mbinguni
@JamiiForums Kuna mikataba miwili tofauti, mosi mkataba wa Serikali kukopa pesa Benki ya Dunia na ambao ndio nafikiri umesainiwa kati ya Serikali na Benki ya Dunia kabla ya Benki ya Dunia kutoa huo Mkopo. Baadaye wakadarasi wanaoshinda zabuni wanasaini mkataba na TANROADS kabla ya ujenzi
@rezam06 Mashamba ya kulimia kwenye karatasi na motivation speakers, kwenda Shamba site ukaone hali halisi na risks involved, acha kurahisisha hivyo na ingekuwa rahisi hivyo wewe pia ungekwenda na ungekuwa tajiri sasa hivi.
@mkandamizaji Kama unavaa nguo zaidi ya siku moja na pia unafanya kazi za mitulinga, sahau mashine ya kufulia nguo kutakatisha nguo zako, bro fua kwa mikono na Mungu atakubariki sana