@mangekimambi Tuelewe jambo moja...kati ya silaha bora ya kudeal na mtesi wake n wewe kuonyesha upendo kwake...haimanishi unakubaliana na kile anachokufanyia but atleast inakupa nguvu ya kuendlea mbele...ndo hcho kinampa Lissu hata smile mahakaman...
@TitoMagoti Tuelewe jambo moja jepesi...kinachomtofautisha Mandela na wanasiasa wengine n uwezo wake wa kudeal na wabaya wake kwa upendo...hlo ndo linamfanya hata Lissu leo yuko gerezan zaid ya mwaka lkn smile yake iko palepale...haimanishi kuwa anapenda anachofanyiwa..hapana!!
@HildaNewton21 Lissu anajua kwa uhakika kuwa kati ya silaha ya kumfanya ashinde hii vita n kuonyesha upendo kwa watesi wake..ndo maana unamuona ana smile hata kuwatia moyo wengine! Hii haina maana kuwa anawakubali wabaya wake..hapana! Upendo unakuponya wewe kwanza!!
@GwamakaMbughi Kati ya vitu vinamfanya dunia iendlee kumuimba Nelson Mandela n uwezo wake wa kutoa upendo kwa watering wake..hlo tu!! Lissu anajua silaha bora ya kupambana na mtesi n kulipa jema kwa baya unless angekuwa na hali ngumu gerezani mpaka leo!!
@MariaSTsehai Kuna kitu mnakosea sana...kati ya vitu vinaendelea kumpa faraja na smile Lissu tunayomuona nayo leo baada ya kukaa ndan zaid ya mwaka ni UPENDO! Unless angekuwa n the most frustrated person on earth mpaka leo...kumpa pole Samia has nothing to do na maridhiano! Acha hzo pressure!
#Pichani
Ni mwanachama wa CHADEMA anaitwa Jackson John Bakizaki alitekwa na maofisa wa Jeshi la Polisi wakiwa na silaha za moto maeneo ya Chalinze November 6, 2025.
Tangu siku hiyo Jackson hajaonekana lakin siku ya tukio mke wake alitumiwa voice note kupitia namba ya WhatsApp ya Jackson ilikuwa inamtaka atoe kiasi cha 1,000,000/= ili waweze kumwachia Jackson Polisi ambao ndo watekaji walisema kwamba asipotoa kiasi iko cha pesa hawatamwachia Jackson.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Chalinze ni kuwa Jackson alitekwa tarehe 6 majira ya saa 7 usiku baada ya hapo kuna mwenzake ambae na yeye alitekwa siku hiyo hiyo majira ya saa 8 usiku maeneo hayo hayo sasa wakati wamempakia mwenzake kwenye gari alimkuta JACKSON ndani ya gari akiwa analia sana baada ya kupigwa na watekaji ambao ni maofisa wa Jeshi la Polisi.
Cha ajabu mwenzake ambae alitekwa nae siku moja aliachiwa kesho yake majira ya asubuhi na Jackson mpaka leo hajaonekana na haijulikani Jeshi la Polisi limempeleka wapi.
#JacksonJohnBakizaki
@Sirjeff_D
Amekamatwa na serikali ya Samia amewekwa Jela Segerea
inaonekana alikamatwa toka Dec 11
Kwa nini Samia unakamata ovyo vijana na kuwaficha kwenye magereza na vituo vya polisi
SOKA: โikitokea nimepotezwa, msilie pambaneni na msikubali usaliti.โ
MDUDE: โKama kuna tuhuma, wanipigie niendeโฆ kwa nini kunivizia?โ
BUYOBE: โnikipotea ghafla, kosa langu litakuwa kutumia haki yangu ya uhuru wa kujielezaโ
POLEPOLE โMi siogopi hata nikipotezwa watakao baki watabaki na niloyafunuaโ