@Millambo_ Unawashauri abt kuacha kula inflammatory foods like the so called 'Mafuta ya alizeti",soda, sugar,Margarine nk kwamba zitawaletea matatizo.
They get Ulcer, HBP, ED etc then All they ask ni "DAWA"
Not knowing that majority of diseases can be fully REVERSED by just ∆ LIFESTYLE.
@Ngokoian@Mwitah_tz Mpango unaoratibiwa kiumakini kabisa na "state oppressive apparatus, frustrating the would-be voters more especially the youths!" Bwana Mwita hajui tatizo linalowakabili vijana mtaani kwangu hadi 97% kuwa mazombi ambayo hayajui nini kinachoendelea nchini mwao! Unemployment
Ni muda mrefu umepita, lakini nimerudi! Tunanza Upyaaaaaa! Kwa wale ambao mmekuwa mkifuatilia kutoka mwanzo, mnajua jinsi nilivyo na mzuka kuhusu biashara na masoko ya mtandaoni. Baada ya mapumziko ya marefu kutoka X, nimerudi na kitu kipya ambacho kitabadilisha mambo kabisa👇
@Mwitah_tz Swali ni nani atalinda hio kura? Nape aliongea yake na nikayaamini 100% ....je mfumo wetu uko imara?
Waache upuuzi wote hawa, cc kam vijana htuoni umuhimu wa kukaa kwenye foleni hizo
@Mwitah_tz Sijasoma andiko lote lakini kwa utafiti usio wa kitaalamu sana, watu wengi hawaamini kama kura zao zinahesabiwa kihalali na kama alivyosema Nape, anaye mata ni yule mtangazaji wa kura. Mfano upo wa jecha salim jecha!!
@Mwitah_tz Umeandika upuuzi tuu...VIJANA HATUTAKI KUJIANDIKISHA KWA SABABU MOJA TUU,CCM INA IBA KURA NA INAPITISHA WAGOMBEA WANAO PITA BILA KUPIGIWA KURA...NIKAPOTEZE MUDA KUJIANDIKISHA ILI IWEJE?
@Mwitah_tz Umetoa MAELEZO mengi kwa jambo CLEAR kabisa.
- Watu wamekata tamaa na mifumo ya uchaguzi, kwasababu ya VITA na KURA kutoheshimika KIMFUMO. Hii haijalishi nani anahamasisha, hata awe MZAZI wako. WaTZ hawahitaji vyama mbadala, wanahitaji MONOPOLY ya kimaamuzi kuwa mikononi mwao.
@SweetbutKanana@Mwitah_tz Hii ni ya msingi sana, na ndio sababu kubwa inayopelekea hali hii ya siasa Tz.
Kwa Tanzania mihimili yote ya nchi imekuwa CAPTURED na chama tawala; Sio bunge, sio executive, sio judiciary.
Nani hajui namna police, mahakama,nk wanavoicheza siasa on behalf of ccm?
@Mwitah_tz Kuna moja hujataja, na hii ndiyo ya msingi ktk 🇹🇿 yetu. Nimeanza kupiga kura '85 ambapo endapo mgombea ambaye hatakiwi na mfumo hapiti ata kama atapata 100% ya kura. Baada ya mfumo wa vyama vingi upinzani ume struggle kupata kura hivyo wapiga kura wamekata tamaa. Mnufaikaji CCM.
@Mwitah_tz Tanzania's politics is so disappointing.
No wonder kushiriki is like kupoteza tu muda.
Labda kama kutakuwa na mabadiliko kadhaa ya msingi kabla ya kuresume ile ari ya vijana kushiriki kama ilivyokua zamani.
CHAGUZI KUU TATU zilizopita zimetufundisha mengi sana.
Tanzania's politics is so disappointing.
No wonder kushiriki is like kupoteza tu muda.
Labda kama kutakuwa na mabadiliko kadhaa ya msingi kabla ya kuresume ile ari ya vijana kushiriki kama ilivyokua zamani.
Chaguzi kuu tatu zilizopita zimetufundisha mengi sana.
Vijana wa Tanzania wanapenda mabadiliko lakini hawataki kuwa sehemu ya mabadiliko.
Kumtoa kijana Bar kwa dakika 10 akajiandikishe kwa ajili ya maendeleo ya mtaa wake ni kazi ngumu sana.
Ila kijana anaweza akaenda kuangalia mpira kwa dakika 90 kwa umbali wowote.
WANATUANGUSHA.
@ExMayorUbungo Tanzania's politics is so disappointing,
No wonder kushiriki is like kupoteza tu muda.
Labda kama kutakuwa na mabadiliko kadhaa ya msingi kabla ya kuresume ile ari ya vijana kushiriki kama ilivyokua zamani.
Chaguzi kuu tatu zilizopita zimetufundisha mengi sana.
An amazing effort for a special cause 🫶
Congrats to those who reached the summit of Kilimanjaro — we're proud of you all 🏔️🧗♂️
#MUFC || @MU_Foundation
"Married men only"
Nothing useful can ever come out from a single man. Married men are the wisest and most knowledgeable. Pure sages. 💯
Ngwannu, married men, over to you all.
RANDOM MESSAGE TO ANYONE.
When one door closes, another door opens. The problem is that many continue to fight to open a door that is already closed instead of going to another door that has opened for them.
Not everything is there to be yours forever, I know you may find it difficult to understand that because of the difficulties you are going through but this is the truth, I am not here to motivate you with words that have the essence of eyes.. I am here to tell you the truth.
Life is a journey, I can say it is like a train journey. When we go, it is far and on the way we meet many things or people, but not all of them you will arrive at the end, you will arrive with those you were destined to arrive with. The good thingis that the one destined to reach the end of this journey does not need to persuade him to reach the end with you because he wants to reach the end with you.
I don't mean that those who ended up on the way on your journey are meaningless, they are meaningful because they were with you on your journey to help you arrive but it was not planned or they did not plan to arrive with you.
Learn to let go of something especially when you see that you don't deserve it because what you deserve will come with you to the end regardless of anything. I don't mean that it is an easy thing to let go, but it is the way that existed for you to arrive safely with the people you deserve to arrive with.