#HABARI Jeshi la Polisi Dodoma limewakamata raia watatu wa China wakiwa na mashine 138 za kuchezeshea kamari zilizokuwa zikisambazwa na wachina hao bila kusajiliwa pamoja na kutuhumiwa kutoa rushwa ya shilingi milioni moja kwa polisi waliowakamata.
@DaudiMkwela Kapteni.. mstari huo unapatikana ndani ya yale mapande 16 niliyombariki nayo Jaffary Mshamu (Jafarhymes) kwenye kile kibao chake motomoto ( alichonishirikisha mimi na dada Enika ) kinachokwenda kwa jina la #SikuHizi - bila shaka kina miaka 7 au 8 tangu kitoke
Rais Dkt.Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli watoa mkono wa pole kwa familia ya Dkt. Kigwangalla kufuatia kifo cha mtoto wao.Soma zaidi->https://t.co/nn4zyotL6A