Hakika bab akiwa bora na familia yake inakua bora ila baba atakua mlevi familia yake itatawaliwa na ulevi... Mungu aendelee kuwapa hekima viongozi wetu wote wa chadema Kwan ni familia yeye baba bora na ukoo bora ✌🙏🙏😘
Gambo amekiri “zamani” (mwaka jana) hata ye na CCM wenzake walikuwa bize kuwanyanyasa wapinzani 😂 sasa WANAKULANA wao kwa wao! Dhulma na ubaguzi hauishii kwa wengine! Ulivyokuwa unamweka Lema ndani (kiongozi aliyechaguliwa) kumfurahisha Bosi wako uliona sawa?
#TutaelewanaTu
Msanii wa Bongofleva Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa amefariki Dunia Alfajiri ya leo akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili,Ndugu wa karibu wa C Pwaa amethibitisha kuwa Pwaa alikuwa anaugua Pneumonia na alifikishwa Hospitali kwa matibabu hadi umauti unamkuta. #RIP🙏
Vibarua zaidi ya 350 wanaofanya kazi ya ujenzi wa reli kutoka Korogwe, Moshi na Arusha wamegoma kufanya kazi wakishinikiza uongozi wa shirika la reli Tanzania kuwalipa ujira wao zaidi ya shilingi milioni 480.
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amedai baadhi ya viongozi wa Wilaya ya Arusha Mjini wametishia kumkamata & kumuweka ndani kwa sababu ya kutekeleza majukumu yake. Amedai viongozi hao wamekuwa wakiwataka watendaji wa taasisi za Serikali kutokwenda katika shughuli anazozifanya.
Wakazi zaidi ya 3000 katika kijiji cha Wami Sokoine Mvomero mkoani Morogoro wamelalamikia kuanza kupata madhara ya kiafya ikiwemo magonjwa ya tumbo na U.T.I baada ya kutumia maji ya madimbwi yaliyotuama kwa muda mrefu kutokana na kukosa maji safi na salama.
Je wajua kuwa Mwaka 2012 wakat Mkoa wa Mwanza unagawanywa, Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi wakiwa kwenye Kikao wakati wanapendekeza jina la Mkoa Mpya ambao sasa unaitwa Geita yeye alitaman uitwe Mkoa wa Chato ila wajumbe walimpa fact za kwanin hauwez itwa Chato ikabid awempole?😂
Swali:
1.SHERIA inasema ukifungiwa uombe msamaha au ukate rufaa ili ufunguliwe?
Kama ishu ni kuomba msamaha, watueleze Wasafi wamemuomba nani? Na huyu mtu ana mamlaka gani ya sheria ya kutoa msamaha?
Na msamaha inaombwa kwa utaratibu gani? Unapiga magoti? Unaandika barua?
Wahenga walisema elimu haina mwisho. Uchaguzi wa Marekani na mgogoro wa Trump, umetufundisha kwamba kuwepo kwa katiba makini bila taasisi imara zinazozingatia misingi ya nchi kwa mujibu wa katiba ni bure. Mahakama za Marekani na bunge Lao vimethibitisa uimara kumaliza mgogoro.