Kuna kaushauri flan huwa kananiboa sana kwamba usipende kukaa karibu na watu wenye mitazamo hasi, kama wewe unajiona una mitazamo chanya kwanini usiwe karibu na watu wote wenye mitazamo chanya na na hasi ili hata hao wenye negativity wajifunze kuwa positive kutoka kwako?
@millardayo Mungu ana nguvu na uwezo tuongeze maombi Tanzania tungekuwa na Hali kama hii vyombo vya habari vya kimataifa vingekuwa vinachambua kuhusu nchi yetu kila kila muda
In real life situation people's decisions are determinant of people's livelihood just because some decisions haven't "Undo" & "Redo" options as we do in computer programs, in real life once you decide and take action is over.
#MudaBadoUnaruhusu
Ukimsaidia mtu kwa nia njema badae akakutendea ubaya usijilaumu sana na kujuta bali ongea na mungu wako atakulipia maana ulitoa msaada sio mkopo.
#Satisfaction_Above_Expectation