@Tigo_TZZ Nilitumwa dukan na bi mkubwa wakat ananipa hela nilikua na jiwe mkono wakushoto kwaiyo akilin najua ninahela na ninajiwe bwana bwana si nikaona ndege kakaa vizur kwenye mti kumbe hela nimeishika kulia si nikalusha aisee😪 nikapitiliza kwa bibi, jion bb kanipeleka ila nilichapwa😭
@RahmaMwita Sasa CCM ni nan si awo viongoz dadaangu wakikosea wao ni CCM imekosea na inakuaje na mfumo mzur alafu mshindwe kuwawajibisha viongoz wanaowachafulia sifa tofaut na apo wanafanya kwa maelekezo ya chama
@fumbokhanJr Mi sijaona jambo la udin apo swala apo ni pointless alizoongea uyo shehe na ndio kikubwa alichokilenga hilda, kwenye nchi za kiislam wanapigana vita kila siku, huku pia tuliwah kusumbuliwa na nzige ila urusu kusumbuliwa na kunguni imekua nipigo kutoka kwa mungu
@MalemboLE Boss nipo kahama naitaji kulima mpunga na sijawah kulima nimepata heka 20, nina 5M njia bora ninayoweza kutumia apa ni ipi ushaur wowote juu ya hili mkuu🙏 kama kuna njia zozote nzur naweza zifata
@nyuki_malkia Amna kibaya walichoimba alafu ukristu sio din ya mtu uanze kuwa kemea watu au kuwapangia watu jinsi ya kuish mungu ni wetu sote, we muhubirie mtu akielewa ni yeye asipoelewa ni yeye we inakua haikuhusu
Uzi: "Kulingana na Wanasaikolojia Duniani, kuna aina nne za Akili:"👇
Twende pamoja na
#ElimikaWikiendi
1) Intelligence Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4) Adversity Quotient (AQ)
1 •Intelligence Quotient (IQ): hiki ndicho kipimo...👇
@babayaro_O3 @Msakamali_ @millardayo@ummymwalimu Unauhakika anae mume? Na je wanawake wote wenye waume wanamaisha bora? Ad afikie hatua uone haina haja ya iyo ajira kwake?
@divahphilip @Kimaronicl @YourFrenchFry Yeah kikubwa chakuangalia nafikil ni mnaendana make ata upendo kuna mda huisha kama hamuendan, Wanawake wengi tunapata na hawatuzalii ila kuna yule unapata anaona kbsa wew unafaa kuwa mme wake ata akikuzalia sio mbay ila sisi ndio tunazingua. Amn mwanamk anabeba mimba asipopenda