@halimamdee @umwalimu Hofu ya kudhani kafa na Corona!! Yaani kwa sasa kila atakaekufa na ugonjwa wowote tofauti na Corona ni mtihani kupata huduma ya mazishi kwa kudhani ni Corona
@voiceofbongo@kigogo2014@Nnauye_Nape Ukweli ni kwamba mbegu; unaweza kuizika hata kujaribu kusahau ila siku moja inaweza kuota na kukufanya kustaajabu na ukatamani kuificha sura yako na isiwezekane kamwe!
@MsigwaPeter UMEKUFA KIIMANI NA KIMATENDO KWA KUWA UWEZO WA KIPATO CHAKO UMEKUPOFUSHA!!
NADHANI KAMA UNGEKUJA NA WAZO KUWA KIPINDI HIKI KIGUMU POSHO ZENU ZOTE ZIELEKEZWE KWENYE MAPAMBANO YA KORONA UNGEELEWEKA NA UNGEPATA RETWEET NYINGI NA REPLIES ZA SIFA KEDEKEDE
@MsigwaPeter Tatizo kubwa la nchi hii ni kitendo cha tume ya uchaguzi kuweka utaratibu wa kuweka kipengere eti hata wa darasa la Saba kugombea na watu hao hao ndio watunga sheria!! Hivi @MsigwaPeter unasoma tweet kweli?? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Nadhani utakuwa unafumba jicho moja ๐คฃ๐คฃ
@MsigwaPeter Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa miradi haina contract kwamba inasimamiwa na serikali moja kwa moja?? Au ndio unashauri serikali ivunje mikataba ili mseme vinginevyo!!! Wanasiasa bhana; mmenishinda tabia!!
Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge anasema tena wa ccm ina maana yamemfika shingoni... vyombo vya habari tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu... kuna watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu...
@godbless_lema@kigogo2014 Tweeter imekuwa kijiwe cha kihuni sana! Kumbe Bora hata fb; huku hata hoja za kujadili tuangalie tunaisaidiaje nchi yetu kumegeuka kijiwe cha kusengenyana tu!! Ile chance Tanzania haipo tena!!
MWANAUME: Mtu pekee anayeweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu atimize mahitaji ya familia yake nyumbani (chakula, ada za watoto, matibabu, malazi, mavazi n.k), Wakati mwingine anadharaulika na kudhalilishwa sehemu anakotafuta riziki lakini hachoki, Wanaume ๐ช๐ฟ
Katika kudhibiti kuenea kwa COVID19- kuanzia tarehe 28/3/2020 Serikali ya China imesitisha VISA zote za kuingia nchini China na Hati za Ukazi (residence permit). Watanzania wenye VISA na wanafunzi wenye hati za ukazi wasitishe mipango ya kurejea China hadi itakapotangazwa tena.
@GeorgeMsangi1@zittokabwe@MagufuliJP Huyu Mungu anaetufanya tuwe wapumbafu angekuwa na ghadhabu na hasira pamoja na dharau uliyonayo angechukua uamuzi wa kuigandisha hewa unayopumua hata kwa dakika moja ungejua kama yupo na upumbavu ulionao ungekutoka, samahani lakini
#ChinaTZ๐จ๐ณ๐น๐ฟ: Ethopian Airline carrying 100,000 masks, 20,000 testing kits and 1,000 protective suits donated by @Jackma arrived at Dar es salaam. The supplies represent the Chinese traditional spirit of benevolence . China will provide more in support TZ fighting #COVID19