CHAZO CHA VITA VINAVYO ENDELEA UKRAINE.(Somewhere in Eastern Europe)
Wengi wanajiuliza why Urusi avamie Ukraine,bila kujiuliza,kuogopa matokeo ya uvamizi kiuchumi.why NATO anajishauri kuingia Ukraine km wanavyo fanya kwny mizozo mingine ya Ulaya.Picha inaanza kaa kwa kutulia =>
@CRDBBankPlc mtatufidia vipi?. Hatupati huduma, hata ukiingia tawini huduma zipo down mno, mtu mmoja anasimama dirishani zaidii ya nusu saa. Inabidi tusongeshe kwa riba kubwa sababu yenu.