@MkulimaKante Katika mwili wa kristo yupo kwenye mihimilo mitano......
Walimu
Wachungaji
Mitume na manabii
Waimbaji
Wachungaji
Nabii hawezi kuwa mwalimu na mwalimu hawezi kuwa nabii tuujenge mwili wa kristo
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno, kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.”
Wafilipi 4:6–7 🙏🏽
@thisistemidayo anapata matangazo. Matangazo ya Standard Definition (SD) yanatumia "Bandwidth" ndogo, hivyo ni rahisi kupokelewa kwenye kila aina ya ving'amuzi na maeneo yenye mawimbi hafifu
@thisistemidayo Ni dolar $8,000 kwa mwezi halafu TBC ni Shirika la Utangazaji la Taifa (Public Broadcaster). Lengo lao kuu ni kuhakikisha kila Mtanzania, hadi kule kijijini ndani kabisa ambako kuna dikoza (decoders) za zamani au antena za kawaida
Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda.
Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
Jamaa kazama bar na demu wake akaagiza beer 🍺 sita za demu na sita za kwake na nyagi mzinga mmoja ,ile wamemaliza bill inakuja laki tano na sabini na nane anauliza imekuwaje anaambiwa mke wako na marafiki zake pale kwenye ile meza wameagiza vinywaji na chakula .
💨Kulia Gemini kushoto ChatGPT unaruka na ipi?😁
Prompt ⬇️
A hyper-realistic editorial photograph of a stylish man confidently interacting with the oversized logo of [X]. The logo is minimalist, sculptural, and rendered in smooth matte 3D with soft rounded edges.
The man wears a couture-inspired menswear outfit designed to match the colors, mood, and emotional identity of the app — tailored fashion, modern textures, premium layered styling, and luxury accessories. He is posed naturally as if becoming part of the logo structure itself: leaning, sitting, standing within, or touching the logo in an artistic way.
Soft cinematic studio lighting, subtle shadows, centered composition, premium minimalist aesthetic, conceptual fashion photography, ultra realistic skin and fabric details, neutral light gray background, luxury magazine editorial style, emotional visual storytelling, clean modern atmosphere, high-end fashion campaign energy.
Extra Masculine Style Variations
Tech / AI Apps
Futuristic streetwear
Monochrome palette
Cyberpunk rim light
Sleek sneakers & metallic accessories
Luxury / Finance Apps
Tailored black suit
Minimal gold accents
Calm confident pose
Moody cinematic shadows
Music / Creative Apps
Oversized fashion styling
Edgy layered clothing
Dramatic expression
Experimental poses
Fitness Apps
Athletic couture outfit
Strong masculine posture
Sharp directional lighting
Sculpted physique emphasis
Advanced Cinematic Add-ons
You can also add:
shot on Hasselblad X2D
85mm lens
f/1.8 depth of field
volumetric soft light
editorial Vogue campaign style
ultra detailed fabric textures
museum-grade minimalist composition
Changes clothes according to X logo color
X zamani ndo twitter
How to get a US virtual phone number for FREE? With unlimited calls and texts?
Use it for online verification,social media accounts, survey panels and more?
Thread
Bookmark
1. View this item on WhatsApp: https://t.co/7l9pWMuOxg
SONY VAIO✅
Core i3✅
Ram 8GB✅
SSD 128GB✅
Processor 2.2GHz✅
Generation 8✅
Backlight keyboard✅
Kioo inch 13.5 full display✅
Slim na nyepesi sana kubeba✅
Battery 2 to 3 hours✅
Kali sana..❤️
Bei 295,000/= Tu.
Radio Garden�
Kusikiliza redio za moja kwa moja kutoka karibu kila kona ya dunia.
MarineTraffic�
Kufuatilia meli zinazosafiri duniani kwa wakati halisi.
FlightRadar24�
Kuona ndege zinazoruka duniani kwa wakati halisi.
Our World in Data�
Takwimu na grafu kuhusu afya, elimu, umaskini, mazingira, na maendeleo ya dunia.
Project Gutenberg�
Maelfu ya vitabu vya bure vilivyoingia kwenye public domain.
Hizi ni baadhi ya website ambazo watu wengi hawazijui sana lakini zina umuhimu mkubwa:
Internet Archive �
Hifadhi kubwa ya vitabu, filamu, muziki, na tovuti za zamani. Ni kama maktaba ya historia ya mtandao.
Uzi 👇👇👇