@nasdemoh @FichuaTanzania @TCRA_Tz Sawa tumeona mi nafikiri tuache tuferi kwanza halafu ndio uje utuseme WhatsApp telegram Instagram na fb watu wengi wako nje huko lakini bado tunashare nao ktk Mambo mengi ngoja tuone usitukatishe ktk Mambo yetu.
Ukisikia ccm ni ileile jua kuwa kweli ni ileile na we utakuwa ni yuleyule hebu kaa pembeni miji yetu walioisimamamia wapinzani wenu ilikuwa imeanza kupendeza awamu ya tano imeturudisha mwaka 47.