@DrStrangejm@kalegamyeh Hizo pesa zikusanywe zilipe extra duty allowance maana ikienda kwa Dr Moja kwa Moja wakati mgonjwa anahudumiwa na watu wengi kuanzia mapokezi hadi famasi
@ArthurGeil Vitu vyote umetaja viko kwenye 'needs gym'.
1. Unakuwa huogopi tena, unaheshimiwa
2. Ukiwa ripped, unajipenda
3. Gym forces you out of comfort zone, sababu ya watu unaokutana nao, watasaudia kukupush
4. Gym inakujenga mwili na akili. Inakupa expensive outfit ever (body) go gym
Habari Boss @ahmedsalimasas
Mkoa wa Katavi una kiu kubwa na bidhaa za ASAS lakini huduma hazijafika bado.
Kama mhitimu wa Shahada na mjasiriamali mkazi wa hapa, niko tayari kusimamia mnyororo wa usambazaji (Distribution) hapa Katavi, Kigoma, na Tabora.
Tunapataje huduma hii huku na je, ofisi yenu inampango na maeneo haya yaliyopo pembeni kidogo na makao makuu?
@Dagwaaa@kalegamyeh Haiondoi ukweli wa aliyoyasema pia. Magonjwa ya figo hayasababishwi na sababu moja mfano kama malaria ambae anajulikana hadi kwa jina
@AM_NIC3 There's no reasoning with woman, atakusikiliza atakuelewa at the moment few hrs later analeta bills zake za Feb 14. Man pambana ukipata ndo utafute patna.