@moodewji Naitwa Paschal ninaishi mbogwe Geita ninachangamoto nimefungua biashara ya spea za mashine ya kusaga mawe yanayosadikika kua na dhahabu (karasha) mikanda,dizeloil,na nk nitafurahi nikipata 1m iliniongeze bizaa🙏 nikwel kubuni biashara Ni kazi Ila natamani nipate mtaji mkubwa 🙏
@rollymsouth@clement_njiku Hiki ndo kinaniumiza kichwa mpaka Sasa mm nina mdgo wangu anahela Ila mm kaka ake Ni jobless so home kwa wazazi wangu imekua kelele coz yeye amekuwa mtu wa kujitoa Ila mm nikiombwa kitu Hadi niwapange siku Ila dgo anatoa siku hiyohiyo so naona kweli baraka imepungua kwang God🙏me