Mliwahi kusoma kisa kimoja cha kijana aliyekamatwa na Polisi kwa kosa la uzururaji.Alipofikishwa kituo cha Polisi alitakiwa atoe chochote (hongo) ili aachiwe, yule kijana alikataa.
Kesho yake alipofikishwa mahakamani yule kijana alisomewa shitaka tofauti kuwa aliendesha baiskeli