@Mundemilian@zittokabwe Kwa hiyo unapendekeza JK angekua rais wa maisha? Umesahau mlivyokua mnamponda?
Kumbuka, hakuna watu wawili walio EXACTLY sawasawa. Kutaka Magufuli awe exactly kama Kikwete ni unrealistic.
@zittokabwe Acha ufala wewe Zitto, siasa sio mchezo wa maneno. Kusema eti JPM Ana kura hewa ni sawa na kusema Mimi na mamilioni ya Watanzania tuliompigia kura ni hewa..
Unafeli sana mdogo wangu..ulituambia ACT ina wachama 1.3m tu wenzio wanasema Wana 17 m hapo ulitaraji nani ashinde
@zittokabwe Utwambie chama chako ulimsimamisha nani?Ilani yako ilinadiwa na nani?Kati ya viongozi wa chama wasiopaswa kuongea na kulalamika ni wewe, Zitto. Angalau Chadema wanaweza ongea kuhusu presidency. Kama chama mlikuwa totally disorganized and you knew hamkuwa na impacts toka mwanzo