@DaimuManafi Mh. Lissu :haya waambie majaji nani likua order ya kutangaza lock down oct 29.
Waeleze majaji hiyo kazi maalum uliyotangaza inayoanza usiku ni ipi?
Haya waambie majaji nani alitoa amri ya shoot to kill?
Waambie majaji,mmekamata watu wangapi waliobeba silaha na kuua watu mitaani?
Mwalimu alitufundisha kuna Active Volcano inaweza kuwa imelala ila kuna muda Magma ikitokota inaerupt
Polen Indonesia na sie wa Oldoinyo Lengai tungojee one day