@capoconz@mZEeBEbeRU@Kaka_Pebby@MwansasuSnr Kiapo chako kinatosha kabisa kukupeleka mbele ya jaji kama utakiuka makubaliano. Hii unaleta ni makubaliano mengine tena. Kama mteja wangu atakubali basi tutasimamia hilo. Ila simshauri akubali 🤣
@capoconz@mZEeBEbeRU@Kaka_Pebby@MwansasuSnr Nitahahakisha unatekeleza hili. Kama wakili wa utetezi niko tayari kumshauri mteja wangu kupeleka shauri kwenye vyombo vya sheria kukudai. Na utalipa I SWEAR 😂