(๐๐ฆ๐๐๐ง๐๐ข๐ค๐ฐ๐ ๐๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐๐๐ญ๐ฎ)
MKAZI wa Kijiji cha Kikweta, Kata ya Lumemo, Halmashauri ya Mji Ifakara, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Petronila Ngurukila ametoa msaada wa pikipiki moja aina ya Houjue kwa Polisi Kata ya Lumemo anayetumia usafiri wa baiskeli kwa ajili ya kutoa elimu ya ulinzi shirikishi kwa wananchi wa vijijini ili kurahisishia utendaji wake wa kazi.
Ngurukila ambaye ni mfanyabiashara katika kijiji hicho amekabidhi pikipiki hiyo kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama kwenye halfa iliyofanyika katika Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kilombero kilichopo mjini Ifakara.
Polisi Kata wa Kata ya Lumemo, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Edwin Kipimo, amesema kwa mura mrefu alikuwa anatumia usafiri wa baiskeli kwa ajili ya kwenda kutoa elimu kwa wananchi wa vijiji vilivyopo kwenye kata hiyo.
Katika majukumu yake hukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ugumu wa kuwafikia wananchi kwa wakati kutokana hali ya kijiografia na ukubwa wa Kata hiyo.
Petronila amesemaย amefikia uamuzi wa kutoa msaada waย pipikipi mpya kutokana na mazingira aliyokuwa akifanya ya kutumia baiskeli kuwafikia walengwa,ย na kuunga mkono juhudi na jitihada za Jeshi la Polisi katika kuzuia uhalifu.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
@SerengetiO@ZahraaAlBatoul1 @mdudechadematz Lugha Kila mtu anauwezo wa kujifunza so point ya kuongea kiarabu ni nonsense kwako sio kwangu
Then do you know who finance Hamas? Issue sio udini issue ni propaganda zinazoenenezwa kwenye social media.
Bro dig kupata elimu