Kama una kibarua kinakupa uhakika wa senti mbili tatu hata kama mazingira ya kazi ni magumu endelea kukilinda kwa nguvu zote
Wakati mwingine tunafanya sio kwa sababu yetu bali watu walioko nyuma yetu. Endelea kukipambania mpaka pale utakapopata unapostahili Mtaani pagumu sana.
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 35,000/=
https://t.co/bkonJGQnSh
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Mungu hajachelewa, hajakusahau, wala hajapoteza uwezo wake. Endelea kuwa na imani, maana kile ambacho Mungu amekipanga kwa ajili yako hakitazuiwa na mazingira yako.
Good morning!
📖Zaburi 57:8
"Amka, utukufu wangu; amka, kinanda na kinubi; nitaamsha alfajiri."
Baba, asante kwa kuniamsha Jumanne hii. Asante kwa pumzi, uzima na ulinzi wa usiku. Nakukabidhi siku hii yote mikononi mwako.
Amina 🤲
PAID OUT
🤑🤑🤑 🤑
ODDS 15+ BOOM
JIUNGE UWE MSHINDI KILA SIKU
#HATUCHANI
🔥 🔥 🔥 🔥
380K+ TZS WAS PAID.
Kaa karibu na Hii page uwe mshindi
Ushindi mfululizo,hatuchani Ovyo
Kujisajili DBBET chini 👇
Link ya kujisajili👉 Dbbet
Promocode jaza: 👉 JOBE
RT PLEASE