@mshashikimodaOG@MarekaMalili Sijajua kama inadili au haina yalikuwa tu maamuzi magumu ya kuamini katika biashara na kuangalia upande mwingine mwanzoni yalikuwa magumu unavyoona wenzako wanaenda kuomba ajila ila badae ukiqnza kuzishika unaona ilikuwa ni maamuzi ya kishujaa
@AD_Abinallah That he love me more than my mom ila alikufa wakati bado namuhitaji sema amenifunza kila kitu kwanzia kufua kupika kunishauri na kujitegemea mwenyewe bila mtu yoyote hata mwanamke