Dear @Tanfootball .. I can do better with that Drafting Subdivision in your Office. assist me to inform TFF, there is a way better skillful DRAFTSMAN outHere anaeweza kuwaepushia hizi aibu ndogondogo. Regards
Nisaidieni kuRtwt hadi @Tanfootball wanisikie
@AbdillahIb12282@FKihamu@mrraphae Ukweli ni kwamba.. kama kuna mtu hajui kua skelewi ndio ngoma ilomtambulisha Dabido EA... hakuna namna tunaweza msaidia.. it is either alikua mdogo sana kutambua mambo..au alikua bado hajaanza kufatilia hayo mambo
@SimbaScTweet For sure..kitu kingine kizuri ni kwamba kila mchezaji anakaba.. tofauti na hapo nyuma.. kunaa watu walikua hawakabi..na useless kila team inapopoteza mpira
@PresenterNoah No.6 inatakiwa acheze mtu mwenye discipline ya kukaa kwenye eneo lake kutokana na ubora wa viungo washambuliaji wa Yanga.. Augustine Okejepha ndie anapaswa kucheza hapo kutokana na nidhamu yake ya kutulia kwenye lile eneo
VIONGOZI WA SIMBA, kwa heshima na taadhima kama FEISAL SALUM anahitajika na yupo kwenye mipango mikubwa ya klabu ila tatizo labda ni Fedha inayohitajika kukamilisha dili hilo ikitajwa kuwa ni BILLION 1.3 basi kuna namna ya kufanya kama ushauri wangu.
1- Sio dhambi duniani klabu hufanya pia kama harambee, wekeni namba hewani za Mashabiki na Wanachama kuchangia ili dili likamilike, tunafahamu timu haidahili Wanachama wapya hivyo mnazidiwa nguvu basi tumieni hata huu mfumo wa kutuchangisha ili fedha ipatikane naamini hata MILLION 500 kutoka kwa Mashabiki inawezekana.
2- WADHAMINI, hawa waliopo kuna namna tunaweza tukafanya sio lazima tuchukue mikataba ya cash direct ila tuwape hii operation, wachangie sehemu ya mzigo ili kukamilisha dili hilo, kuna klabu X ili Staa wao yule asalie kuna Kampuni moja wapo Mdhamini imetoa sehemu ya mzigo, tuwe na bargaining power Wazee wangu, Kampuni hizi zinataka proporsal tu.
3- MO DEWJI anafanya makubwa sana na anapambana sana ila timu sio yeye peke yake, mfano klabu X inatumia sana Watu wake mashughuli na wenye nguvu kufanya fujo kwenye usajili, hawajamwachia Mngoni peke yake, sasa sisi tunafeli wapi? Wa kwetu wapo wapi na pesa wanazo pia? Ni wakati huu wa kuunganisha nguvu kuwaapproach na wao wasaidie sio kukosoa tu wanasubiri.
4- Tunaweza kuwapa upfront ya pesa hawa Azam na kulipa kwa mikupuo hilo nalo linawezekana kwakuwa inakubalika pia kimpira na tukienda tofauti kuwe na kifungu cha automatic termination, naamini tunaweza kwenye hizo pesa zinazohitajika maana ni ukweli kuwa tunahitaji sana miguu ya FEISAL SALUM ndani ya Simba.
Ninyi mmepambana sana na tumeona, basi na sisi Mashabiki tupeni nafasi tuchangie sehemu ya ujenzi wa hii klabu maana kadi na Uanachama hatuna, tumekosa haki ya msingi basi hata hii haki yetu kuwa tulimnunua Feisal kwa jasho letu isishindikane Wakubwa, Dogo ni future kubwa sana.
Tunajenga Simba mpya, lazima sote kwa pamoja tukubali kuumia na sio kumwachia MO DEWJI peke yake, hofu yangu Watu wetu wenye nguvu na pesa ni kama wamelala sana, MO peke yake anabeba mzigo, naamini dili ya Feisal inawezekana kabisa, klabu kama Simba kikwazo hakipaswi kuwa pesa.
FARHAN JECHA BIN MANGUNGU JUNIOR.
Treanding Song today ๐๐๐๐๐๐๐๐
Nimependa Idea ya huyu jamaaa๐๐๐๐๐ฝ
Nimeweka verse yangu hapo chini, wewe Comments ya kwako๐๐๐๐๐๐๐ฝ
Video kwa Comments๐๐พ