@zittokabwe I wonder even Mr Nyepes is Saying Pr samia instend of saying Government of TANZANIA is expected to launch the construction .........π€π€π€π€π€π€π€π€«π€«π€«π€«π€«π€«
@Mwabuk2Boniface Kwann tusiwe na serikali ya majimbo kama USA yaani zenj majimbo mawili bara majimbo kazaa raisi awe mmoja tu Hakuna mambo yakuwa na passport mbili wala NIDA 2
@Jambotv_@ccm_tanzania Mzumbe ipi hiii waliosomea kina @PKibatala ,@TitoMagoti hiii hiii Mzumbe tuliosoma sisi au ulisoma Ndaki ipi aisee yan product ya MU ipitisha mkataba wa kuuza bandar zote za TZ no sio Mzumbe itakuwa umesahau chuo ulichosoma
@dsm2029@AbroadTanzania We mzanzibari tu by nature ni mgeni hpo zenji yaan ni mjinga ndio anawexa amini Pwani ni sehem ya Zanzabar kuliko kuamini zanzibar ni sehemu ya Tanganyika
@swahilitimes Mbona kama kasahau majukum yake
Sasa yeye ni serikali au Bunge wananchi wanaisema serikali ajabu msimamizi wa chombo cha wawakilishi wa wananchi anawaonyo waliompa kazi aisee ajabu kabisa katika nch ya Haiti