Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE.
Wananchi Wamtaka John Heche Aweke Akaunti Wamchangie Fedha.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameendelea kupata ujumbe wa kuungwa mkono kutoka kwa baadhi ya wananchi, ambao kupitia mitandao ya kijamii wamemtaka aweke namba ya akaunti au njia ya malipo ili waweze kumchangia fedha ili aendelee kula vizuri kama anakula.
Watanzania, Lissu anasema tuongeze Moto!!!
Haki, napenda mind set ya Lissu. Yani he gets it. Kuwa ni lazma tupambane sio mambo ya lege lege.
Ila huyu kiumbe huyu, dah!!!! Mungu alimuumba Lissu specifically for this very moment!!!!!!!!!
#UPDATES_KESI_YA_MAWAKILI_WA_MHE_LISSU_DHIDI_YA_MKUU_WA_MAGEREZA
Leo July 21, 2026
Jana tuliishia part 6 so leo tunaendelea na-;
Part 7
Leo Mhe. Lissu aanaendelea kuhoji Mawakili wake ambapo anamuhoji Wakili Paul Kisabo.
Mhe. Lissu : Nitakuuliza maswali kuanzia Tar. 16/06 hadi November 15.
Tar. 16/06 pale Kisutu Nililalamika kuhusu mawasiliano yangu na mawakili wangu?
Wakili Kisabo: Ni kweli na ukasema umetuondoa kazini.
Mhe. Lissu: Baada ya hapo utaratibu wa mawasiliano ulibadilika?
Wakili Kisabo: Ni kweli
Mhe. Lissu: Utaratibu ulibadilika na tukawa tunazungumza kwenye admission office.
Wakili Kisabo: Ndio na walikuwa wanatusikiliza
Mhe. Lissu: Kwenye kiti cha wakili anachokaa pale admission kuna askari anapiga type anaandika. Na wengine wengi wanaandika humo ndani na Insp. Mwingine wa sheria na mwingine wa usalama.
Wakili Kisabo: ni kweli kabisa.
Mhe. Lissu: Na kule kwenye kile chumba cha awali tunachoongea na simu ni kweli wanakusimamia na kukusikia unachoongea kwenye hiyo simu?
Wakili Kisabo: Ni kweli.
Mhe.Lissu: Kuna CCTV camera hapo kwenye kale ka Chumba?
Wakili Kisabo: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Na turudi kwenye admission office napo CCTV zipo?
Wakili Kisabo: Ni kweli zipo.
Mhe. Lissu: Je unapozungumza na mteja wako kuna usiri wowote?
Wakili Kisabo: hakuna usiri maana wanakusikiliza na kutusimamia kwa kila kitu.
Mhe. Lissu: Soma kanuni ya 33(1)(a) ya Kanuni za Magereza. Je kwa kanuni hiyo utaratibu unaotumika kunisimamia mimi kama huo utaratibu ni wafungwa wa kifo au wafungwa wengine kawaida?
Wakili Kisabo: Huo ni utaratibu wa wafungwa waliohukumiwa kifo sio mtu kama wewe.
Mhe. Lissu: Soma sheria ya magereza na kanuni zake. Je mahabusu kama mimi anaruhusiwa kusimamiwa hivyo kama ninavyosimamiwa mimi?
Wakili Kisabo: Hakuna mahali kokote inaruhusiwa kwenye sheria.
Mhe. Lissu: Baada ya 15/11/2025 utaratibu ukabadilika kutoka admission office kwenye kwa naibu mkuu wa gereza ofisi ambayo yupo pia mtu wa usalama wa gereza?
Wakili Kisabo: Haswaaa ilikuwa hivyo.
Mhe. Lissu: Ofisi ya mkuu wa jela tumekutana mara ngapi ukazungumza na mimi?
Wakili Kisabo: Zaidi ya mara tatu.
Mhe. Lissu: Tulipofanya kwa mkuu wa gereza tulikuwa peke yetu?
Wakili Kisabo: Alikuwepo Mkuu wa Gereza, Walinzi wako na maaskari wengine wanajaaa mle.
Mhe: Lissu: Ni kweli hujawahi kupima ukubwa wa ofisi ya Mkuu wa Gereza?
Wakili Kisabo: sijawahi kupima.
Mhe. Lissu: Je sasa kuna uwezekano wa kusikia au kutosikia tunachoongea?
Wakili Kisabo: Lazima watusikie. Wametusikia mara zote.
Mhe. Lissu: Kwanini unasema wanatusikia.
Wakili Kisabo: Kwanza wako karibu na sisi chumba ni kidogo. Kuna muda tukicheka wanacheka na kuna muda tukisikitika na wao wanasikitika. Maana yake wanatufuatilia.
Kicheko kwa mbali kinatokea. 😂😂😂
Mhe. Lissu: Sasa kule kwa naibu mkuu wa gereza kukoje?
Wakili Kisabo: Na kwenyewe walikuwa wanajazana na kusikiliza kila kitu. Kulikuwa hakuna faragha kabisa.
Mhe.Lissu: Tuzungumze mabadilishano ya nyaraka, Ni kweli mmeniletea nyaraka mbalimbali kuhusu kesi inayonikabili Mahakama kuu.
Wakili Kisabo: Ni kweli lakini kabla hatujakupa wanazichukua na kuzisoma.
Mhe. Lissu: Na hadi unapoondoka huwa bado wako nazo wao?
Wakili Kisabo: Ni sahihi
Mhe. Lissu: Ni kweli mara nyingi nimewalalamikia kuwa sipati hizo nyaraka mara nyingine?
Wakili Kisabo: Mara nyingi sana umelalamika hata ile hotuba ya Jaji Chande kuhusu ripoti ya uchunguzi wa matukio ya oktoba 29 hujapata hadi leo.
Mhe. Lissu: Unafahamu kama mawakili wa serikali walisema Mahakamani wanataka kuongeza ushahidi kuniunganisha na matukio ya oktoba 29
Wakili Kisabo: Ni kweli na nyaraka ile nilikuletea ujiandae na utetezi.
Mhe. Lissu: Ni kweli mwezi uliopita uliniletea nyaraka kutoka umoja wa mataifa ikisema niachiwe kwa kesi hii.
Part 8 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
APPRECIATION POST YA WANAHARAKATI WANAOPAMBANA INSTAGRAM NA TIKTOK!!!!
NCHI YENU IKO PROUD NA NYINYI. KUBALINI WITH PRIDE, MAJINA YOTE MNAYOPEWA NA WAUWAJI WA OCTOBER 29.
Jueni kuwa nyinyi sio wapigania haki wa kwanza kuwa demonized na serikali kama hii serikali haram, serikali ya 6 ya TANZANIA.
South Africa, activists na wadai haki waliitwa “trouble makers” na “magaidi” , Kina Mandela walikaa jela miaka karibia 30 sababu walikuwa labeled magaidi na wahalifu wanaoharibu amani ya South Africa. Mwisho wa siku gaidi wa South Africa, akawa Rais wa South Africa.
Hapa Marekani Martin Luther King alikamatwa na kufungwa mara karibia 30 ,serikali ya Marekani ikidai ni mhalifu na anataka kuharibu amani ya Marekani. Leo nchi ya Marekani ina sikukuu ya Martin Luther King day. Yule mhalifu alietaka kuchafua Amani ya Marekani leo ana sikukuu yake Marekani. Siku ya Martin Luther King Day,kila mtu serikalini anakaa nyumbani na kumkumbuka kwa kazi yake ya kudai haki ya watu weusi Marekani. Na sisi wanaharakati wa Tz kuna siku tutaheshimika, although leo sisi ni magaidi.
Tusiende mbali, kabla ya katiba mpya kupatikana Kenya, wanaodai haki na activitists waliitwa majina yooote mabaya na serikali ya Kenya, mpaka wakaitwa “‘maadui wa maendeleo”. Leo Kenya inaongoza kwa haki na demokrasia East Africa Nzima. (Though Ruto anataka kuwaletea ungese wa Samia). They are not 100% there but they are almost there.Kenya is doing better in democracy than entire East Africa or maybe entire Africa, after SA.
My point is, wanaharakati wa Tz leo tutaitwa wahalifu na magaidi ila naomba muamini kuwa mkiendelea kupigana kuna siku serikali mpya ya Tz itawavalisha medali za ushujaaa. KEEP FIGHTING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania tusikubali Lissu akae jela muda mrefu ili Tz ipate haki. This is 2026, there are way more tools and technology to help LISSU TODAY THAN THERE WAS BACK IN THE DAY TO HELP MANDELA.
TANZANIA, TUKO HAPA TULIPO ILI TU FAMILIA 2 ziendeleee kuinyonya Tanzania, FAMILIA YA KIKWETE NA FAMILIA YA SAMIA SULUHU!!! Shame on jeshi la polisi na MOMBO- (USALAMA WA TAIFA) Hivi vyombo viwili ndio vinavyoruhusu familia hizi 2 kuharibu nchi!!!!!!
WATANZANIA WAMEAMUA MILLION 95 SASA.
Tumebakiza TSh. Milioni 5 pekee kufikisha TSh. Milioni 100!
"Tunaomba kila mmoja ajali, na siyo mara moja unaacha, kila unapofikiria mabadiliko na utawala bora fikiria kwamba Chadema haiwezi kwenda mbele bila fedha zako" Mhe. Godbless Lema
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Nimeshatoa michango mingi kwa @ChademaTZ2 ila leo nimetoa tena sababu kuchangia chadema mara moja haitoshi lazma tuchangie kila mwezi.
Hakuna tena kusapoti Chadema kwa mdomo na comments, ni lazma tusapoti kwa kutoa pesa, kama msemo unavyosema “put your money where your mouth is”.
Diaspora mlioko nje na hamuogopi kutuma pesa kwa Chadema please tuma pesa sasa hivi
Vodacom Mpesa - 0744 446969
Jina: Chadema HQ
Bank : NMB - 22606600140
Jina : CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO.
Kwa Diaspora ambao mnaogopa kuwatumia pesa Chadema coz mtakuwa targeted mkienda bongo kutembea, huyu mpiganaji wetu @Liberatus80 amejitolea kupokea pesa zenu kupitia Cashapp, PayPal, zelle na njia zingine then atazifikisha Chadema.
Mimi pia najitolea kupokea michango ya Diaspora wa nchi yoyote sio Marekani tu ambao mnaogopa kuwatumia Chadema pesa then nitawafikishia, you can use PayPal @[email protected]
Au Zelle 424-537-3057
Au cashapp: $mangekimambi
Au banking:
Bank: Wells Fargo
Account #: 8433034900
Domestic wire (US) - 121000248
International wire- WFBIUS6S
ASANTENI WATANZANIA! MPAKA ASUBUHI HII TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 53.5 ✌️
Safari inaendelea.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
@KennedyMmari Ccm ni janga la taifa .... cheap propaganda isn't going to work with Tanzanians this time round..... group shifted chademas way Long time ago...and recent events jailing of lissu and Oct 29 events.... you're simply a dying horse