Ushuhuda wa vijana.
#KijanaPazaSautiKamataFursa
Waliomba milioni 10 Manispaa na wamepatiwa.
Sasa wana kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni za kunawia mikono.
Vijana hawa wamepewa mafunzo na @PakachaG kwa ufadhili wa @FCSTZ
"Vijana ambao mnajihusisha na ujasiriamali na mpo hapa na wenzenu ambao hawapo hapa.
Nawaomba wooote mje kuomba mikopo halmashauri haraka sana"
Afisa Maendeleo Kata.
#KijanaPazaSautiKamataFursa
@yulehance @PakachaG@FCSTZ@UKinTanzania Tafuta vijana wenzio mnaoaminiana.
Undeni kikundi.
Nendeni ofisi ya kata muwaeleze nia yenu ya mkopo.
Ombeni muongozo wa katiba ya Kikundi.
Kisha muipeleke hapo kata.
Mkiwa na
1.Picha
2 Vitamhulisho
Kisha mtaenda manispaa ya Ubungo ofisi ya afsa maendeleo ya Jamii
Msomi aliyekosa ajira na kuamua kujihusisha na kilimo cha mapapai pamoja na utotoleshaji wa kuku.
Baada ya kupata mafunzo ya Ujasiriamali kutoka @PakachaG ndo akagundua kuwa kuna mikopo ya halmashauri anaamini imesaidia kukuza mtaji wake.
#KijanaPazaSautiKamataFursa
"Halmashauri ya Kinondoni inatenga 4 % ya bil 3.4 kwa ajili ya mikopo ya vijana nendeni mkakope mjikwamue kiuchumi"
Mratibu wa miradi wa @PakachaG#KijanaPazaSautiKamataFursa
Mkopo huo hauna riba.
Kuna kijana leo katoa ushuhuda kuwa sepr 17 wameingiziwa mil 2.5 kwenye akaunti ya kikundi chao baada ya kujulishwa na taasisi ya @PakachaG inayofadhiliwa na1 @FCSTZ
Vijana wa kata ya Mwananyamala waliopata mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na asasi ya PAKACHA Group inayofadhiliwa na @FCSTZ ili waweze kuboresha maisha yao .
#AzakiTanzania
Afisa wa shirika la SAJAKU GROUP Evaline Paul Msengesi akielezea changamoto na mafanikio ya Mradi wao wa Uwezeshaji Jamii Katika Ufuatiliaji wa Matumizi ya Rasilimali Za Umma (PETS) katika Sekta ya maji katika Halmashauri ya Mji Nanyamba - Mtwara
#AzakiTanzania#Tanzania
Abubakar Mohammed Abdi Mhasibu wa Shirika la SAJAKU GROUP akijengewa uwezo na Mhasibu CPA Tusekile Anangisye kutoka @FCSTZ baada ya kukagua mahesabu ya SAJAKU GROUP na kutoa marekebisho ili kuhakikisha mahesabu na utendaji wa shirika unafanywa ipasavyo #AzakiTanzania
Yesterday we'd guests from @FCSTZ who visited to our office at Tandale as part of support visit session from FCS.
Thank you @shamsiamanu and your team.
We hope to see you once again.
#KijanaPazaSauti
Tunampongeza kijana huyu.
Baada ya kupata mafunzo ya ujasiriamali na kujua umuhim wa mitandao ya kijamii kwenye biashara basi alichukua uamuzi wa kufungua akaunti Twitter.
@thelaundrylady3 yupo Kinondoni.
Kupitia uraghabishi nimeweza kujenga hali ya kujua mambo na kuweza kuaminiwa.
Pamoja na kufanya kwenye Mitandao ya kijamii lakini kuna wakati napata fursa ya kuraghabisha mbele ya kadamnasi.
Nawashukuru @TAMWA_ x @PakachaG#elimikawikiendi
"Soko lingine ni mitandao ya kijamii.
Ifanye akaunti yako iwe duka.
Followers wako ndio wateja.
Status yako ni duka.
Contact viewers wako ndo wateja"
@bajabiri@FCSTZ#KijanaAmka
Kijana aliyeishia darasa la 7 ambaye amejifunza mambo mengi kupitia mitandaoni ikiwepo You Tube na kaka yake ambaye ni expert wa IT.
Kwa sasa anafanya CCTV installation,graphic design,computer maintanance na mengine mengi.
Leo ametoa ushuhuda kwa vijana wenzie
@FCSTZ