@UNATanzania@FCSTZ Sisi miongoni mwa wanufaika, tunashkuru na kufurahia mafunzo na maelekezo ya kuweza kukwamuka katika harakati zetu za kujitegemea kiuchumi. Hongereni UNA Tz pia hongereni FCS
@zittokabwe Nawashangaa sana suala hili waliolitoa kabisa kwny dhana ya ubinaadamu na kulipachika kwny mrengo na mtaji! Nn kilichochelewesha leo kufahamu! Sio chuki? Au hawana haki hawa ya kupata haki mahakamani?
@whitebaboon1@zittokabwe Acha chuki wewe, hao watu waliouawa kibiti huku akiba na kuwapa? Je waliookotwa baharini nakadhalika!? Je wao walikuwa wanahaki ya kuuawa???? Hilo sio tatzo kubwa? Unajua kwnn limesita? Je kuna aliewekwa ndani!? Acha kuhusisha watu usiowajua na matukio ya kipumbavu!
@Rac_Aman @FakameH@zittokabwe Sio chuki za kisiasa hapa sasa udini, me nimemuelewa zitto anapigania haki ya mtu yeyote. Hawa watu hawajashtakiwa kwa muda wa miaka 6, just wamewekwa ndani tu na wanafamilia zinawategemea. Ila wengi wanaompinga zitto leo sio wametafsiri haki wameangalia ni nani anawatetea.