@JotiOfficial Option ya tano iwe ya kwanza. Mfano mzuri ni Kimara wakati mwendokasi umeanza. Mtu alkua anaona ni bora apande mwendokasi maana atawahi zaidi.
@airtel_tanzania huduma hovyo. Tatizo moja tangu december mwaka jana halijatatulika. Kila ukipiga 100 wanasema ntapigiwa sim ntapigiwa simu kumbe hamna lolote🚮
@airtel_tanzania Najaribu kujiunga na Master card but it doesnt work. Since december 2022 nilipiga simu even jana i called lakini jibu ni lile lile “utapigiwa simu”. Lakini sioni hiyo simu
Youth of Africa, please always bear in mind that integrity is a vital pillar of
successful enterprepreneurship. It is about trust, keeping one’s word and fulfilling promises. It is about honouring commitments.